• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MAAFISA UGANI WATAKIWA KUWA NA MASHAMBA DARASA YA MFANO

Posted on: November 7th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amewaelekeza Maafisa Kilimo na Mifugo kuanzisha mashamba darasa ya kilimo yatakayotumika kuwafundishia wakulima kilimo bora na ufugaji.

Ameyasema hayo leo tarehe 7, Novemba 2022 katika kikao cha Maafisa ugani kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.

“nasisitiza kila mtu akaanzishe shamba darasa ili hayo mashamba yawe mfano hai kwa wakulima siyo mnawafundisha wakulima kilimo bora wakati nyie hata shamba la mfano hamna” amesema  Msanga


Aidha Maafisa hao wamesisitizwa kuendelea kutoa elimu ya kilimo na ufugaji kwa Wananchi ili kilimo kiweze kuongeza tija,”msichoke kutoa elimu  kwa wakulima, msichoke kuhamasisha kilimo bora” amesema Msanga


Vilevile maafisa ugani wameshauriwa kusimamia vikundi vya kilimo na ufugaji vilivyopewa mikopo na halmashauri kwaajili ya kujishughulisha na kilimo ili viweze kutumia fedha kwa lengo lililokusudiwa.

Naye Afisa Kilimo (W) Mhandisi Magreth Kavalo  amewataka maafisa kilimo na mifugo kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni za utumishi pia amesisitiza  uwajibikaji.

Nao maafisa ugani wameeleza changamoto zinazowakabili ikiwa ni pamoja na uhaba wa maafisa ugani kitu kinachopelekea Afisa mmoja kuhudumia kata zaidi ya moja hali inayopelekea kuhafifisha utekelezaji wa kazi.

“ tunaomba watumishi waongezeke ili iturahisishie kuwafikia wakulima maana mtu mmoja kuhudumia wakulima zaidi ya kata moja ufanisi wa kazi unapungua maana hatuwezi kuwafikia wote” amesema Afisa mifugo Arsen Mwenda




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.