• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MADARASA 109 YAPOKELEWA NA MKUU WA MKOA WA MWANZA MHANDISI GABRIEL

Posted on: January 7th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robart Gabriel amepokea madarasa 109 yaliyojengwa kwa bilion 2.18 fedha za UVIKO-19 yakiwa yamekamilika.  Akipokea madarasa hayo Mkuu wa Mkoa amewapongeza viongozi wa Wilaya na Halmashauri kwa usimamizi walioufanya mpaka kuhakikisha madarasa hayo yanakamilika. Pia amepongeza wasimamizi kwa kuwezesha mradi kukamilika na chenji kubaki.


Akiongea na Wananchi na watumishi walioshiriki hafla hiyo  amewataka Viongozi wote wanaosimamia miradi mbalimbali kuendelea kuwa waadilifu katika utekelezaji wa miradi kwani wezi hawawezi kuheshimika mahali popote pale duniani.


" Hautaheshimika ukila hela za umma, hautaheshimika ukiwa fisadi, hautaheshimika ukiwa mwizi, timiza jukumu lako kwenye nafasi aliyokupa Mungu ndio jukumu letu na tulizike na maisha yetu, wajibu wetu ni kutoa huduma basi"


Katika Hafla hiyo Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi amewashukuru Wananchi kwa ushirikiano waliouonyesha katika kufanikisha ujenzi wa madarasa  hayo, amesema haikuwa kazi rahisi wasimamizi wote wamejitoa ili kufanikisha kukamilika kwa ujenzi huo.


Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amemshukuru Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha hizo bilion 2.18 kwaajili ya ujenzi wa madarasa 109, amesema kupitia madarasa haya wanafunzi wa wataweza kusoma katika mazingira mazuri na rafiki.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.