• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MADIWANI WAHIMIZWA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: April 17th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija  amewataka waheshimiwa Madiwani  kuongeza usimamizi wa miradi ya maendeleo


" waheshimiwa madiwani shirikianeni na wataalamu kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yenu, miradi hiyo ikikamilika itawarahisishia kazi nyie kwenye kazi zenu za kisiasa lakini lengo la Serikali litakuwa limekamilika la kuwafikishia huduma wananchi" amesema Ludigija 


Aidha Mkuu wa Wilaya  amewataka TARURA kuongeza juhudi katika utekelezaji wa miradi ya barabara na madaraja ili kuondoa kero ya kushindwa kipita kwa wakati pindi mvua kubwa inaponyesha mfano daraja la  Solwe 


Mkuu huyo  amewataka watumishi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria,kanuni na taratibu za utumishi, pia amewasisitiza watumishi wote kujiamini wanapotekeleza majukumu yao.


Akiwasilisha taarifa kaim Mkurugenzi, Ndugu Wiliam Kasuja amesema Halmashauri inaendelea  kusimamia utekelezaji wa miradi aidha katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25 Halmashauri imepokea watumishi ajira mpya 178 wakiwemo watumishi wa Idara ya Elimu,Afya,utawala na manununi.


Nao waheshimiwa Madiwani wametumia wasaa huo kumuomba Mkuu wa Wilaya kuendelea kuwasisitiza wakala wa barabara  kukarabati madaraja na  barabara kwa wakati.


Katika mkutano huo ameshiriki  Katibu wa CCM Wilaya ya Kwimba Ndug. Agatha Lubuva ambaye  amewashauri waheshimiwa Madiwani na watumishi kufanya kazi kwa ushirikiano


"Maendeleo hayawezi kupatikana bila ushirikiano kati ya chama na Serikali kwahiyo watumishi na Madiwani tushirikiani ili tuijenge Kwimba na Taifa kwaujumla"

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA KAMATI YA USHAURI WA KISHERIA ILI KUONDOA MALALAMIKO

    April 22, 2025
  • MADIWANI WAHIMIZWA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO

    April 17, 2025
  • FISTULA INATIBIKA

    April 17, 2025
  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI ASHAURI CHANGAMOTO ZITATULIWE PAMEMA

    April 17, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.