• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

YALIYOJILI BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI KWIMBA

Posted on: February 12th, 2021

Madiwani wawasirisha taarifa zao za kata katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika tarehe 12/02.2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.Kamati mbalimbali nazo zimetoa taarifa zao ikiwemo kamati ya Elimu,Afya na maji ambapo kamati imeshauri Waalimu wakuu wawe wanabadirishiwa vituo vya kazi ili kuongeza ufanisi na ufaulu katika kazi,pia wamesisitiza wahudumu wa Afya yaani waganga na manesi kuishi karibu na vituo vyao vya kutolea huduma.


Katika kikao hicho madiwani wameiomba Serikali kununua gari la zimamoto ili kurahisisha uokoaji pindi ajali za moto zinapotokea, haya yamejitokeza baada ya taaarifa ya kamati ya uchumi ambayo imesisitiza kila taasisi ya Serikali kuwa na vifaa vya zimamoto na Elimu itolewe kwa wananchi ili wapate uelewa kuhusu majanga ya moto.

Katibu wa kikao hicho ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri Bib.Pendo Malabeja ameshauri madiwani kusaidia kusimamia ukusanyaji wa mapato unaofanywa na watendaji wa kata na vijiji,vilevile amesisitiza kuwa nimakosa kwa kiongozi wa Serikali kutumia pesa ya Serikali isivyostahili 'ni makosa makubwa mtumishi kutumia fedha zile anazozikusanya kama mapato ya Halmashauri' amesema Malabeja.Pia ametoa taarifa kuwa ametoa maelekezo kwa  watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha kila shule inakuwa na kalakana ndogo kwa ajili ya ukarabati wa viti,meza na madawati ya wanafunzi.

Aidha katika kikao hicho Katibu Tawala wa Wilaya Ndug.Nyakia Ally amesisitiza madiwani na watendaji kusimamia miradi ya maendeleo inayoendelea na amewashauri madiwani  kwenda kuwashirikisha wananchi kuhusu miradi inayoendelea ili wawe na uelewa wa pamoja kuhusu miradi inayotekelezwa katika kata zao,vilevile Katibu Tawala nae amesisitiza suala la kila Shule kuwa na kalakana ndogo kwa ajili ya ukarabati wa viti,meza na madawati ya wanafunzi ili kalakana kubwa ya kutengeneza vit,meza na madawati ibaki Halmashauri.

Katibu Tawala wa Wilaya Ndug.Nyakia Ally

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kwimba Bib.Pendo Malabeja


Mwenyekiti kamati ya Elimu,Afya na maji Mhe.Kapunda



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.