• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MADIWANI WAIPONGEZA KAMATI YA USIMAMIZI WA MIRADI INAYOTEKELEZWA

Posted on: April 22nd, 2022

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango yawapongeza wasimamizi wa miradi inayotekelezwa . Haya yamejitokeza katika ziara  ya kamàti hiyo iliyofanyika tarehe 21-22,Aprili 2022 Wilayani Kwimba.


Katika ziara hiyo wajumbe wametembelea mradi wa ujenzi wa Shule mpya za Nkalalo na Kilyaboya zinazotekelezwa kwa milion 940 ambapo katika miradi hiyo madarasa, maabara, jengo la utawala, maktaba, jengo la komputa na matundu ya vyoo yanaendelea kujengwa kwa kuzingatia ubora unaotakiwa. Wajumbe hao baada ya kuona miradi hiyo na hatua iliyofikiwa wamempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri na kamati nzima inayohusika na usimamizi wa majengo hayo huku wakiwataka wasimamizi hao kuongeza kasi zaidi ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati kama ilivyokusudiwa.


Kamati hiyo imekagua ujenzi wa Vituo vya Afya Isunga na Hungumalwa ambapo Hungumalwa walipokea milioni 500 za ujenzi huo huku Isunga wakipokea milion 250.Vituo vyote vinatekelezwa kwa kasi ya kulizisha na kamati hiyo imepongeza juhudi za usimamizi wa miradi hiyo.


Aidha kamati imekagua ukamilishaji wa Zahanati ya Mwankuba  milion 50 na Ujenzi wa madarasa sita katika Shule ya Msingi kabale milioni 121 miradi inayotekelezwa kwa fedha za mapato yandani, hapo wajumbe wa kamati hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Theleza Lusangija wameipongeza Halmashauri kwa kujenga madarasa ya Shule ili kuokoa maisha ya wanafunzi yaliyokuwa hatarini. kulingana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kwa kiwango kikubwa.


Ziara hiyo imelenga kuongeza tija katika utekelezaji wa miradi na kuongeza chachu ya ukusanyaji wa mapato kwani kamati hiyo imefika katika mgodi wa Mhalo kuona shughuli nzima ya uchimbaji wa madini inavyofanyika na jinsi Halmashauri inavyokusanya mapato kupitia mgodi huo.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.