• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MADIWANI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA UJENZI WA VYOO BORA

Posted on: August 24th, 2023



Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija amewataka Waheshimiwa Madiwani na viongozi wote wa vijiji na Kata kuwa Mabalozi kwa wananchi wao kwa kuwahamasisha ujenzi wa vyoo bora na vya kisasa.


Ameyasema hayo kwenye Baraza la Madiwani la  robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/23 lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri


"Madiwani na  viongozi katika maeneo yenu mkawe mabalozi, mkaonyeshe kwa mfano ujenzi wa vyoo bora, tunataka Wananchi wote wawe na vyoo bora Ili kujiepusha na mripuko wa magonjwa unaoweza kuepukika" Ludigija


Aidha Mkuu huyo amewaelekeza Waheshimiwa Madiwani kuhakikisha Kila Shule inatoa chakula kwa wanafunzi kwa kuwashirikisha wazazi kuchangia vyakula vya wanafunzi


" kama watoto wanaokuwa nyumbani wanakula mchana kwanini anayekuwa shuleni kile chakula ambacho angekula nyumbani kisipelekwe shuleni? tunataka watoto wote wapate chakula shuleni Ili waweze kusoma vizuri"  Ludigija


Akiwasilisha taarifa ya robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/23 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amesema Halmashauri imepokea kiasi cha Bilioni 2.24 kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya elimu Sekondari. Shule mpya mbili zinajengwa Sumve na Bupamwa na madarasa na mabweni yanajengwa katika Shule za Mwamashimba,Talo, Ngudu,Kilyaboya na Manawa,


Baada ya Baraza hilo ulifanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa  Halmashauri ambapo Mhe. Lameck Hole  amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kwa mwaka wa fedha 2023/24.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.