• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MAHAFALI YA 48 YA CHUO CHA FDC

Posted on: November 17th, 2023



Chuo cha maendeleo ya Wananchi ( FDC) Malya kimefanya mahafali ya 48 ambapo wanafunzi  266 wamehitimu kozi mbalimbali ikiwemo ufundi wa magari, ufundi Bomba, ufundi wa umeme, ufundi wa kushona nguo, kozi ya mifugo, ualimu wa watoto wadogo na wanafunzi wanaosoma Elimu Haina mwisho ambao ni wasichana waliokatiza masomo yao kwa sababu mbalimbali wanapata nafasi yakurudia masomo ya Sekondari.


Mgeni rasmi wa Mahafali hiyo ndugu Hassan Nyagani Meneja wa NMB aliyemuwakilisha Mkuu wa Wilaya amewashauri wanachuo hao kwenda kutumia vizuri ujuzi walioupata ili ukaongeze tija kwa Taifa


" Taifa la Tanzania linawategemea sana na Elimu ya ufundi mliyopata inahitajika maeneo mengi kwahiyo katumieni ujuzi huu vizuri katika kuitumikia jamii na Serikali " amesema Nyagani


Akiwasilisha taarifa  fupi ya chuo hicho Mkuu wa Chuo Frank Igembe  ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuleta fedha za vifaa vya mafunzo ambavyo vimesaidia kuboresha ufundishaji kwa vitendo na hiyo imesaidia kuongeza idadi ya wanachuo.


Aidha Chuo hicho bado kina changamoto ya upatikanaji wa maji jambo ambalo linaendelea kutafutiwa ufumbuzi na uongozi wa Chuo kwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya.


Wahitimu wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya Chuo hicho " tunaishukuru Serikali kwa kutujengea madarasa mazuri na kukarabati mabweni lakini pia tumeletewa mashine za kujifunzia ambazo zimeturahisishia ujifunzaji maana tunajifunza Kwa vitendo" amesema Fredy Shagembe


Mkuu wa Chuo ameitumia nafasi hiyo kuwakaribisha Wananchi kuendelea kupeleka vijana  kupata masomo katika Chuo hicho ambapo ujuzi mbalimbali unatolewa. Chuo cha FDC kinazaidi ya wanachuo 600 wanaosoma kozi mbalimbali, kinapatikana Kata ya Malya Wilayani Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.