• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MHE:KEMILEMBE LWOTA MBUNGE VITI MAALUMU AKABIDHI MILIONI 10 KWA SHULE YA SEKONDARI TALLO.

Posted on: June 12th, 2020

Mbunge vitimaalumu wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe.Kemilembe Lwota amekabidhi milioni 10 kwa shule ya Sekondari Tallo ikiwa nijuhudi za kuunga mkono ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kidato cha tano, pesa hizo zimepokelewa na Mwenyekiti wa bodi ya shule Ndug.Ramadhani Kasara na Mkuu wa shule Mwlm.Fadhili Yusufu katika ukumbi wa Halmashauri ya Kwimba leo tarehe 12 Juni 2020.

 Akikabidhi mchango huo Mhe.Kemilembe amewataka viongozi wa shule hiyo kuzitumia fedha hizo kukamilisha bweni moja  ambalo liko kwenye hatua za ukamilishaji,bweni hilo likikamilika litaweza kuchukua wanafunzi 100. Shule ya Sekondari Tallo inatarajia kuanzisha masomo ya kidato cha tano na sita kwa michepuo ya HGE na EGM.




Katika zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kwimba Bib.Pendo Malabeja,Afisa Elimu Sekondari  Mwlm.Emmanuel Katemi na Mwenyekiti wa bodi ya Shule  wamemshukuru Mhe.Kemilembe kwa pesa hizo kwani zitasaidia kumalizia jengo hilo na wameahidi kusimamia pesa hizo ili zifanye kazi kama iliyokusudiwa ili jengo likamilike kwa wakati.


Miundombinu mingine inayohitajika kwa ajili ya kidato cha tano katika shule hiyo imeshakamilika ambayo ni bweni moja,bwalo,madarasa mawili na choo cha wanafunzi na Walimu.Shule hiyo ikikamilika itaongeza idadi ya shule za kidato cha tano na sita ambazo kwa sasa ziko 3.


 

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.