• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Mhe.Senyi Simon Ngaga apokea mwenge wa uhuru katika kijiji cha Izizimba A Wilaya ya Kwimba.

Posted on: August 26th, 2018

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella akimkabidhi mkuu wa wilaya ya kwimba Mhe. Bi Senyi Simon Ngaga Mwenge wa Uhuru tayari kwa  uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Kwimba.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika kijiji cha Izizimba A  katika wilaya Kwimba tarehe 26/08/2018 tayari kwa kuanza kuzindua na kuweka jiwe la msingi katika miradi saba (7)  ya maendeleo ambayo imechangiwa kwa nguvu za wananchi kwa michango mbalimbali pamoja na fedha kutoka Serikalini. Mhe Mkuu wa Wilaya bibi. Senyi Simon Ngaga amesema kuwa mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018 zinaongozwa na Ndg. Charles Francis Kabeho  ambaye ni kiongozi mkuu wa mbio za Mwenge Kitaifa na utakimbizwa zaidi ya kata nne huku ukipita zaidi ya kilometa 119 katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Kwimba . Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa katika wilaya ya Magu mapema tarehe 27 mwezi Augost mwaka huu tayari kwa kupitia na kukagua  miradi mbalimbali ya maendeleo na shughuli nyingine.

Ndg. Charles Francis Kabeho akizungumza na wananchi na kuhamasisha elimu bure

Ndg. Charles Francis Kabeho ambea ndiye kiongozi wa  Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2018 amesema kuwa wazazi wanao wajibu wa kuwaandikisha watoto, kuwapeleka shule  na kuchangia chakula shuleni ili kuongeza afya ya watoto wakiwepo shuleni ili kupunguza utoro na kuongeza ubora wa elimu kulingana na kauli mbiu ya Mwenge mwaka huu isemayo “Elimu ni Ufunguo wa Maisha wekeza sasa kwa Maendeleo ya Taifa”. Wazazi watupie jicho suala la maendeleo ya watoto wao kielimu kwa kuwasisitiza kuwa kujisomea shuleni na nyumbani ili kupata elimu bora  ukizingatia mfumo wa elimu bure unaotolewa  na serikari ya awamu ya tano bila kujali ni tabaka lolote. Pia Ndg. Charles Kabeho ameongeza kuwa mkoa  Mwanza ni mkoa wa 26 kati ya mikoa 31 itakayopitiwa na mbio hizi. Mwenge wa uhuru ulianza mbio zake mnamo April 02 mwaka huu mkoani Geita na utahitimisha mbio zake mkoani Tanga  October 14 2018 ambapo ni siku ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julias K Nyerere.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.