• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI MHE.SILINDE AKAGUA MIRADI YA EP4R SHULE YA SEKONDARI TALLO.

Posted on: March 7th, 2021

Naibu Waziri Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. David Silinde amefanya ziara ya kikazi tarehe 07 /03/2021 Wilayani Kwimba, kukagua ujenzi wa miradi ya EP4R katika Shule ya Sekondari Tallo,

Mhe.Silinde ametembelea Shule hiyo na kukagua ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kidato cha tano,ujenzi wa madarasa mawili na ujenzi wa matundu sita ya vyoo unaoendelea,ambapo madarasa na matundu ya vyoo yameshakamirika na bweni liko kwenye hatua za ukamilishaji.

Shule ya Sekondari Tallo imefanikiwa kupata miradi ya EP4R  kwa miaka mitatu mfurulizo ambapo mwaka wa fedha 2017/2018 Shule ilipokea milion 81.6 kwa ajili ya ujenzi wa Bweni na Matundu sita ya vyoo ambayo yameshakamilika, mwaka 2018/2019 Shule ilipokea milioni 175 kwaajili ya ujenzi wa Bweni moja,ukamilishaji wa Bwalo moja,ujenzi wa jiko,ujenzi madarsa mawili na ujenzi wa matundu nane ya vyoo vyote vimekamilika. Mwaka 2020/2021 Shule ilipokea milioni 126.6 kwaajili ya ujenzi wa Bweni moja,ujenzi wa madarasa mawili na ujenzi wa matundu sita ya vyoo. ambapo miradi yote hii imelenga kutoa Elimu ya kidato cha tano na sita katika Mazingira mazuri yanayohamasisha ufundishaji na ujifunzaji.

Mwaka 2020 Shule ya Sekondari Tallo iliweza kuanzisha masomo ya kidato cha Tano baada ya maandalizi ya kupokea wanafunzi hao kukamilika, jumla ya wanafunzi 64 wanasoma kidato cha Tano na maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wengine yanaendelea.

Aidha Mhe.Silinde amesisitiza majengo hayo kukamilika kwa wakati ili malengo ya Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli yakutoa Elimu katika mazingira bora yatimie.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.