• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKURUGENZI AWAPONGEZA WALIMU WA KWIMBA

Posted on: May 31st, 2024



Mkurugenzi wa Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Emmanuel Seleman  Shindika amewapongeza Walimu wa Wilaya ya Kwimba kwa kuongeza ufaulu katika mitihani ya Taifa, ameyasema hayo Jana Mei 31,2024 kwenye kikao kilichofanyika Shule ya Sekondari Ngudu


" nimekuja kuongea na wana Kwimba nikiwa na jambo moja kuu la kuhamasisha na kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayofanya, sifa zenu zimetukuka hongereni sana kwa kuongeza ufaulu " amesema Shindika


Mkurugenzi huyo  ameutumia Mkutano huo  kuwataka walimu wenye madai mbalimbali wapeleke madai hayo kwa Maafisa elimu ili madai yao yapelekwe sehemu husika kwaajili ya kufanyiwa  kazi.


Pia amewataka Maafisa elimu kushughulikia changamoto za walimu ikiwa ni pamoja na  muundo, kupanda madaraja,pesa za uhamisho na changamoto nyingine ili kuondoa malalamiko.


Aidha amewataka walimu kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa (Kausha damu) inayopelekea wengi kushindwa kutimiza majukumu yao, badara yake wameshauliwa kutafuta vyanzo vingine vya fedha kama kilimo na ujasiriamali.


Shindika amewashauri walimu kuipenda kazi yao na kuridhika na kipato wanachokipata "chanzo kikubwa cha watu kuteseka ni kutotosheka na kipato wanachopata,  Mshukuru Mungu kwa kipato hicho ridhika kisha tafuta mradi mwingine wa kuongeza kipato mradi ambao hautaathiri muda wa mwajiri wako"


Walimu walioshiriki kikao hicho wameahidi kwenda kufanyia kazi ushauri  na maelekezo yaliyotolewa na viongozi wote walioshiriki kikao hicho.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.