• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA MKOA ADAM MALIMA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE MPYA NA KITUO CHA AFYA HUNGUMALWA

Posted on: March 2nd, 2023

MKUU WA MKOA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE MPYA MWALULYEHO NA KITUO CHA AFYA HUNGUMALWA


Wananchi wa Kijiji cha Chasalawi katika Kata ya Bupamba wilayani Kwimba wamechangishana na kununua eneo la Ardhi lenye ukubwa wa Hekari Nane kwa ajili ya kujenga Shule ya Msingi ili kuwapunguzia watoto adha ya kutembea umbali mrefu wa zaidi ya Kilomita tano.


Hayo yamebainishwa leo wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Adam Malima ambapo Kiongozi huyo amekagua na kuweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Miundombinu ya vyumba vya Madarasa 9,  Matundu ya Vyoo 30 na Jengo la Utawala kwenye shule ya Msingi Mwalulyeho yanayotekelezwa kwa Tshs. Milioni 250 zilizotolewa na serikali kuu.


Amesema, wananchi wa kijiji hicho wameonesha kuwa na kiu ya maendeleo na uzalendo kwa kuamua kwa hiyari kununua eneo na kuanzisha Ujenzi kabla ya serikali kuwaletea mawazo na akatumia wasaa huo kuwaahidi kuwatimizia ndoto yao ya kupata shule kwa kuhakikishia kukamilika kwa ujenzi mapema mwezi Aprili 2023.


"Nawashukuru sana kwa kujitolea kuanzisha mradi wa maendeleo na ukiona jamii inafanya haya kwa hiyari basi ujue eneo hilo wananchi wake wanajitambua sana maana hakuna mtu anayeweza kujenga shule ili asome mwanae pekee bali ni kwa ajili ya jamii nzima., hongereni sana." Malima.


Aidha, ametoa rai kwa wazazi wa kata ya Bupamwa kuhakikisha wanawapeleka watoto shule hususani wa kike ili kuwatimizia ndoto ya kujitegemea na akawasihi kuacha tabia ya kuwaozesha kwa kishawishi cha kupata mifugo kama mahari huku alisema wakifanya hivyo wataharinu jamii nzima ya sasa na baadae.


Naye,  Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ngw'ilabuzu Ludigija ametumia wasaa hup kumshukuru Mhe Rais kwa kuwaletea fedha za Ujenzi wa shule hiyo na akawapa konvole wananchi kwa kuamua kujiletea maendeleo wenyewe bila kusubiri na akawataka kuendelea na tabia hiyo njema.


"Rais Samia hakukosea kukuleta Mhe. Malima Mkoni mwanza maana tutanufaika sana na Uongozi wako maana una uchungu wa maendeleo ndio maana pamoja na kufanya ziara za kusikiliza kero za wananchi unahakikisha unakagua kila mradi hadi iliyopo maeneo ya mbali kiasi hiki." Me. Sabana Salinje, Mwenyekiti wa CCM Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.