• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA WILAYA AFUNGUA MAFUNZO YA MGAMBO NYAMBITI

Posted on: July 6th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi  amefungua mafunzo ya Mgambo kwa vijana 69 ambapo wakike walikua tisa na wakiume 60,mafunzo hayo yamefunguliwa jana  tarehe 5 Julai, 2022  katika kijiji cha Nyambiti Kata ya Nyambiti.


Akifungua mafunzo hayo Mheshimiwa Samizi amewataka vijana hao kuwa na nidhamu, kujituma na ushirikiano  katika kila wanachokifanya na wanachoelekezwa na wakufunzi wao. Pia amewataka baada yamafunzo hayo wakaanzishe vikundi vya ujasiliamari vitakavyowawezesha kupata mikopo inayotolewa na Halmashauri ili waweze kufanya bishara zitakazowainua kiuchumi.


"msingi wa mafanikio na maendeleo ni nidhamu, nidhamu ni ufungio wa mambo mengi, fanyeni mazoezi, wasikilizeni wakufunzi wenu mtafika mbali" amesema Samizi


Aidha Mkuu wa Wilaya ameitumia nafasi hiyo kuwataka Wananchi kuweka akiba ya chakula kwani wananchi wengi wameonekana kuuza vyakula hadi vile vya akiba kitu kitakachopelekea njaa. Amesisitiza kuwa Wananchi wafahamu kuwa hakutakuwa na chakula cha msaada kwahiyo kila familia wahakikishe wanatunza akiba ya chakula.


"Wananchi mnachokifanya siyo sahihi mnauza chakula chote, mnafulahia bei lakini mnachokitengeneza ni wimbi la njaa, sasa nawaelekeza kila familia kutunza  chakula, mnapouza mazao yenu hakikisheni mnatunza yale yatakayotosheleza hadi msimu mwingine"

amesema Samizi


Naye Mshauri wa Mgambo Meja Gadiel Mndeme akisoma taarifa ya mafunzo hayo amesema vijana hao watapewa mafunzo mbalimbali yakiwemo mafunzo ya kwata, masomo ya uraia, mbinu za kivita, usomaji wa ramani, somo la uhamiaji, ujanja wa polini, mafunzo ya silaha ndogondogo, somo la usalama, uokozi na rushwa. Amewashauri vijana ambao bado hawajajiunga na mafunzo hayo kwenda kujiunga kwani ni mafunzo yatakayowasaidia vijana kuwa wajuzi wa mambo mbalimbali na  wakakamavu.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.