• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA WILAYA AWAONGOZA WANANCHI WA KATA YA MALIGISU KUCHIMBA MSINGI WA KITUO CHA AFYA

Posted on: February 8th, 2022


Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi leo tarehe 08/02/2022 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Maligisu  kuchimca msingi wa majengo manne na nyumba ya Mganga moja kwaajili ya ukamilishaji wa Kituo cha Afya kinachojengwa katika Kijiji cha Kadashi.


Jumla ya Milion 300 zimepokelewa kwaajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa Kituo hicho cha Afya ambapo majengo yanayotarajiwa kujengwa ni nyumba ya Daktari, theater, mochwari, kichomea taka na choo.


Kituo hicho kinayo majengo matatu yaani  jengo la wagonjwa wa nje( OPD), maabara na jengo la Mama na Mtoto ambayo yako katika hatua za ukamilishaji. Utekelezaji wa majengo haya matatu umetumia nguvu za Wananchi na milion 205 fedha ya Serikali.


Akiongea na Wananchi baada ya kuchimba msingi Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi wote kujitolea, kushiriki katika ujenzi, kulinda na kusimamia kazi zote zinazoendelea katika eneo hilo


" Kituo ni chetu sote hivyo tushirikiane kuhakikisha kituo hiki kinakamilika ili kianze kutoa huduma kwa Wananchi"  amesema Johari


Mkuu huyo amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuona umuhimu wa kuleta fedha nyingi za miradi mbalimbali inayotekelezwa Wilayani hapa ikiwemo huu wa Kituo cha Afya Maligisu.amesisitiza kuwa ujenzi wa kituo hiki ni muhimu kwa Wananchi wa Maligisu kwani  wanatembea umbali mrefu kufuata huduma za Afya hivyo linapaswa kuwa jukumu la kila mkazi na kiongozi wa Wilaya hii kuhakikisha kituo kinakamilika na kuanza kutoa huduma.


Wananchi walioshiriki uchimbaji wa msingi wamemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha hizo kwaajili ya ukamilishaji wa kituo hicho, wanamuomba Mheshimiwa Rais aemdelee kuleta fedha za miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara ya rami ya Hungumalwa- Ngudu - Magu.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.