• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA WILAYA AZINDUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA KADASHI

Posted on: March 4th, 2023

Wanawake wajawazito waaswa kuacha tabia za kujifungua nyumbani badala yake wafike kwenye vituo vya Afya vilivyo karibu yao Ili wajifungue katika mazingira salama.


Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ngw'ilabuzu Ludigija Leo Machi 4,2023 wakati akizingua huduma za Afya katika Kituo cha Afya Kadashi

" niwashauri Wananchi wote hivi vituo vya Afya mvitumie, hatutarajii kusikia wanawake wanajifungua nyumbani acheni tabia hiyo ya kuhatarisha maisha yenu na watoto, njooni mjifungue kwenye vituo vya Afya, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewajali Wananchi ametujengea kituo cha Afya kitumieni vizuri"  amesema Ludigija


Katika Hafla hiyo ameshiriki Mbunge wa Jimbo la Sumve Mhe.Kasalali Mageni ambaye amewashukuru Wananchi Kwa kuanzisha ujenzi wa Zahanati ambayo baada ya kuanzisha Waziri Mkuu alishauri ipandishwe hadhi na kuwa kituo cha Afya." niwapongeze Wananchi wa Kadashi tumepambana sana hadi kituo kimekamilika, Sasa kituo hiki mkitunze ili kiweze kutoa huduma zilizokusudiwa" Kasalali


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi.Happiness Msanga akiwasilisha taarifa ya mradi huo ameishukuri Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha  kwaajili ya kukamilisha kituo hicho

" Imekuwa historia Kwa sababu ujenzi ulianza tangu  mwaka 2012 Kwa nguvu za Wananchi na baadae Serikali ilileta fedha Kwa Awamu tofauti ambazo zimewezesha kukamilika Kwa kituo hiki" Msanga


Hafla hiyo imehudhuliwa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali ambao wote wamepongeza jitihada za Mheshimia Rais za kuwaletea maendeleo Wananchi" nampongeza na kumshukuru Mheshimia Rais kwa kuendelea kuleta fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo,pia niwaombe wanawake muache kujifungua nyumbani"  Thereza Lusangija Mwenyekiti wa Halmashauri


Wanchi wa Kata ya Maligisu wameishukuru Serikali Kwa kuwasogezea huduma za Afya " tunaishukuru sana Serikali Kwa kutuletea huduma zaAfta tulikuwa tunateseka hasa wanawake kujifungulia njiani na wakati mwingine wazazi wamefariki, Sasa hiki kituo kitatusaidia s sana" amesema Milika Chananja


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.