• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA WILAYA YA KWIMBA AFANYA ZIARA MISUNGWI

Posted on: June 7th, 2022

Mkuu wa wilaya ya kwimba Mhe.Johari Samizi amefanya ziara leo Juni 7,2022 katika Wilaya ya Misungwi kwa lengo la kujifunza namna ya kumalisha miradi.Katika ziara hiyo Mkuu wa wilaya ya kwimba ameambatana na kamati  ya usalama Wilaya ya Kwimba pamoja na Kaimu Mkurugenzi Ndugu Denis Kabogo na wajumbe wengine kutoka Halmashauri. Naye Mhe Veronica Kesi Mkuu wa Wilaya ya Misungwi akaungana nao ili kutembelea miradi ya Misungwi.

katika ziara hiyo wametembelea kituo cha Afya Cha Idetemya kilichopo Usagara,Daraja la Busisi pamoja na shule ya sekondari ya Sanjo wakilenga   kupata mafunzo ya namna bora  ya ukamilishaji wa miradi kwa wakati.

Baada ya ziara hiyo kukamilika Mkuu wa wilaya ya Kwimba ametoa  pongezi kwa Mkuu wa wilaya ya misungwi kwa kuweza kukamilisha miradi" nitoe pongezi kwa Wilaya ya Misungwi kwa hatua mliyofika kwani miradi kwa asilimia kubwa imekamilika tofauti na kwimba,Kwimba bado tupo nyuma kidogo ukilinganisha na nyie Misungwi na ndio maana leo tumekuja kufanya ziara tujifunze namna ya kukamalisha miradi kwa haraka na kwa ubora zaidi natumaini Mimi na wajumbe wangu tumejione na tumejifunza kupitia miradi ya hapa misungwi"

Naye Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe Veronica Kesi akatoa neno" Mimi niombe sisi tupeane ushirikiano katika kujenga Mkoa wetu kwa kushirikiana katika miradi lakini pia tujenge mazoea ya kutembeleana ili tuweze kujifunza zaidi kwa vitendo na kufanya hivyo tutaijenga Mwanza yetu"

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.