• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Afungua Mafunzo ya Warsha ya Kupitia na Kupitisha Mpango Kazi

Posted on: July 6th, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Mtemi Msafiri Simeoni amefungua Warsha ya kupitia na kupitisha mpango kazi wa wilaya ya kwimba katika Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na ushirika pamoja na idara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika Ukumbi wa Halmashauri ya  Wilaya ya Kwimba Tarehe 05/07/2017.

Tupambane kufa na kupona kuhakikisha vipaumbele vya Halmashauri vinatutoa hapa tulipo na  tunasonga mbele, tuone wananchi wetu wanatoka kupitia vipaumbele vyetu. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bibi Pendo A.Malabeja wakati akimkaribisha mgeni rasmi kufungua Warsha hiyo.

 Akifungua mafunzo hayo Mhe. Msafiri amesema Idara ya kilimo na mifugo ni muhimu sana katika wilaya ya kwimba hivyo amewaomba wataalam watumie warsha hiyo kujifunza na kuelewa mada mbalimbali zinazotolewa ili waweze kuhudumia wananchi kwa ufasaha.

 Aidha Mhe. Msafiri  amesema kuanzia mwaka wa fedha 2017/2018 Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba itaanzisha mashamba darasa kwenye Taasisi  zote za Serikali ili wakulima waweze kujifunza kilimo bora na chenye tija.

Aidha Ndg Jackson Mahenda Afisa Mradi  kutoka shirika lisilo la kiserikali  Dalberg amewaomba wataalamu  kutoka Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika pamoja na Idara ya Maendeleleo ya Mifugo waandaye  vipaumbele vya Halmashauri kulingana na  Vipaombele vya Serikali ili kuongeza tija na ufanisi katika kazi.

 Afisa mifugo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg Peter Kasele amesisitiza matumizi ya mizani kwa ajili ya kupimia Mifugo kwenye minada na amemuomba Mkuu wa Wilaya ya Kwimba kuhakikisha minada yote inamizani na wataalamu wahakikishe wanawafundisha wakulima kuuza mifungo yenye afya bora kwa ajili ya kujipatia kipato kikubwa.  

“ Minada yote lazima itumie mizani  ili wauzaji wasiibiwe na wanunuzi”

 Afisa Mkuu wa Kilimo kutoka Ofisi ya OR-TAMISEMI Ndg Leo Martin amewaambia wataalamu wasifanye kazi kwa kuletewa faili bali waomyeshe ubunifu wa kazi walizozisomea na kuhakikisha wanamsaidia Mkurugenzi Mtendaji kusimamia ukusanyaji mzuri wa mapato pamoja na kubuni vyanzo vipya vya mapato.

“Tutumie nguvu ya ziada kujenga Mabwawa ya Samaki na tumsaidie Mkurugenzi Mtendaji kuongeza vyanzo vya Mapato kwani hakuna zao lenye mapato mengi kama Ngozi”

Mchumi Mkuu kutoka Ofisi ya OR-TAMISEMI Bibi Upendo Sanga ameiomba Halmashauri kuhakikiksha  asilimia za mapato  ya Uvuvi, Kilimo pamoja na Mifugo zinarudi kwenye Idara kwa ajili ya Kushughulikia miradi ya  maendeleo ya sekta husika.



Mchumi Mkuu kutoka Ofisi y OR-TAMISEMI Bibi Upendo Sanga akichangia mada wakati wa kupitia na kupitisha  Mpango kazi kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Kwa kuhitimisha Warsha hiyo Bibi Pendo amewashukuru wadau wote wa Kilimo pamoja shirika lisilo la kiserikali  Dalberg kwa kusimamia utekelezaji wa Mpango  Kazi wa Maendeleo ya Kilimo wilayani kwimba.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.