• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

Posted on: May 16th, 2023


Mheshimiwa Ester Mahawe Mkuu wa Wilaya ya Mbozi akiwa ameambatana na Kamati ya fedha,uongozi na mipango ya Halmashauri ya Mbozi wamefanya ziara Wilayani Kwimba kujifunza utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa fedha za mapato ya ndani na usimamizi wa miradi ya maendeleo.


Ziara hiyo imefanyika leo Mei 16,2023 ambapo viongozi hao wametembelea mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Budushi Sumve unaotekelezwa kwa millioni 300 fedha za mapato ya ndani. Miradi mingine iliyotembelewa ni ujenzi wa madarasa sita Shule ya Msingi Kabale kwa millioni 121 fedha za mapato ya ndani, mradi wa ujenzi wa uzio wa nyumba ya  Mkurugenzi na miradi mingine inayotekelezwa kwa fedha toka Serikali kuu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa jengo la utawala na Hospital ya Wilaya.


Mheshimiwa Mahawe ameipongeza Halmashauri ya Kwimba kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi kisha akaahidi kwenda kutumia mbinu walizojifunza Ili kutekeleza miradi yao


"Niwapongeze viongozi wote wa Wilaya ya Kwimba kwasababu mnatekeleza miradi kwa ushirikiano mkubwa  sana pia miradi yenu inaonyesha thamani ya fedha, na mbinu yenu tutakwenda kuitumia Wilayani Mbozi Ili tutekeleze miradi  mikubwa kwa fedha ya mapato ya ndani" amesema Mahawe


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbozi Ndugu Abdallah Nandonde  ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kwa utekelezaji wa miradi " ziara yetu imekuwa ya mafanikio sana maana tumejifunza utekelezaji wa miradi pia tumejifunza ukusanyaji wa mapato ya ushiru wa mazao mbinu hizi tukitumia mapato kwenye Halmashauri ya Mbozi yataongezeka"


Waheshimiwa Madiwani kutoka Mbozi wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kwa kufanya kazi kwa  ushirikiano na viongozi wengine. Nao wameahidi kwenda kuongeza ushirikiano katika Halmashauri yao.


Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi kwa fedha za mapato ya ndani  Mkurugenzi Mtendaji wa Kwimba Bi. Happiness Msanga amesema Halmashauri imedhamilia kuwasogezea huduma Wananchi kwa kutumia fedha za mapato ya ndani " tuliona tutenge fedha nyingi zitekeleze mradi mmoja wenye tija, kama ujenzi wa kituo cha Afya"

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.