• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Mradi wa "Zijue Haki Zako Mtu Mwenye Ulemavu" Kutoa Mafunzo Wilayani Kwimba

Posted on: September 29th, 2017

Mradi wa “ Zitambue Haki Zako Mtu Mwenye Ulemavu” unaotekelezwa na asasi isiyokuwa ya kiserikali   The Foundation For Civil Society (FCS) kwa kushirikiana na  Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA) –Wilayani Kwimba umetoa mafunzo kwa  Wananchi, Walemavu, na Viongozi wa Serikali ngazi ya kijiji ya  Ufuatiliaji wa mgawanyo wa Ruzuku Kwa watu wenye Ulemavu Katika vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali ya Wilaya ya Kwimba.

Mafunzo hayo yalianza tarehe 25 Septemba, 2017 katika kata za Igongwa, Fukalo, Ngudu, Nkalalo na kumalizika katika kata ya Ngula tarehe 29 Septemba, 2017.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Wilayani Kwimba Ndg Nyerere Julias Musa alisema walemavu wana haki ya kuzijua na kuzitambua haki zao, aliendelea kusema kuwa mafunzo hayo yamewapa fursa ya kupata nguvu ya kudai haki zao.




 Mwenyekiti wa Chama cha Wlemavu Kwimba Ndg Nyerere Julias Musa akitoa Mada wakati wa Mafunzo .

Ndg Nyerere alimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kwimba  Bibi Pendo Malabeja kwa kupokea andiko lao la Mradi pamoja na  kuwapatia ushauri wa hali na mali katika kutekeleza majukumu yao. 

Diwani wa Kata ya Nkalalo Mhe. Enos James Ntwale aliiasa jamii kwa kuacha  tabia ya kuwaficha  watu wenye Ulemavu Majumbani kwani Mradi upo kwa ajili ya kuwasaidia watu wenye matatio kama hayo. Aliyasema hayo wakati wa mafunzo katika kijiji cha Mwadubi.



Diwani wa Kata ya Nkalalo Mhe. Enos James Ntwale akiongea na wajumbe wa Mafunzo

Mratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali MNGON (Umoja wa NGO’S katika mkoa wa Mwanza Ndg Adam Ndokeji aliiomba kamati ya  Ufuatiliaji wa Mgawanyo wa Ruzuku  kwa Watu Wenye  Ulemavu kuhakikisha wanaandika taarifa vizuri zisizopotosha jamii.

Aidha mjumbe wa kamati ya Mfumo wa Ufuatiliaji wa Matumizi ya Fedha za Umma ujulikanao kwa kiingereza Public Expenditure Tracking System (PETS) Ndg  Majingu Bugumba Misongoma ameiomba Serikali kutenga fedha  kwa watu wenye ulemavu kupitia bageti kwa ajili ya kupata huduma za Afya kwa sababu kundi hilo linamahitaji maalum.  




 Ndg  Majingu Bugumba Misongoma akiuliza swali wakati wa mafunzo

Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA)-wilayani Kwimba kilianza mwaka  1961  kikiwa na malengo ya kuwaunganisha watu wenye ulemavu wa viungo ili waweze kudai haki zao kwa pamoja na kuleta maendeleo ya chama  chao wilayani kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.