• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ATOA MAELEZO YA UCHAGUZI KWA WADAU WA UCHAGUZI

Posted on: September 26th, 2024


Msimamizi wa Uchaguzi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba  Dkt. Amon Mkoga  ametoa maelezo na taratibu za uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27,2024. 


Tangazo hilo limetolewa leo 26,Septemba 2024 kwa wadau wa uchaguzi ambapo watu wa makundi mbalimbali wameshiriki mkutano huo ikiwa ni pamoja na viongozi wa vyama vya siasa vya ACT, CUF, CHADEMA na CCM.


Wadau wengine walioshiriki ni viongozi wa dini, wazee maarufu, watumishi wa umma na wananchi wengine wote waliofika ukumbi wa Halmashauri.


Akitoa tangazo hilo Dkt Mkoga amesema shughuli za Uchaguzi wa Serikali za mitaa zimeanza rasmi ambapo matukio mbalimbali  yatafanyika kwa mujibu wa taratibu na sheria za uchaguzi zinazoongoza uchaguzi huo.


Amesisitiza kuzingatia ratiba ya matukio ya uchaguzi ambapo matukio muhimu yameelezwa yakiwemo tarehe 11-20 Oktoba,2024 ni siku za kujiandikisha kwenye daftari la mkazi, tarehe 25 oktoba 2024 ni siku ya kukoma uongozi kwa viongozi  walioko madarakani kwa sasa na matukio mengine yote yameelezwa.


Aidha msimamizi wa uchaguzi ametoa rai kwa wananchi wa Kwimba kujitokeza kushiriki matukio yote ya Uchaguzi na kuhakikisha wanashiriki siku ya uchaguzi kuchagua viongozi watakaohamasisha maendeleo ya vijiji vyao.


Uchaguzi wa Serikali za mitaa utafanyika tarehe 27,Novemba  2024 ambapo wenyeviti wa vijiji,wajumbe wa Serikali ya kijiji  na viongozi wote wa vijiji na vitongoji watachaguliwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.