• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AWATANGAZA WASHINDI WA UBUNGE MAJIMBO YA KWIMBA NA SUMVE.

Posted on: October 29th, 2020

Msimamizi wa uchaguzi wa majimbo ya Kwimba na Sumve  amewatangaza washindi wa ubunge mapema leo tarehe 29/10/2020.

Bib Pendo Anangisye Malabeja msimamizi wa uchaguzi akitangaza matokeo hayo ya uchaguzi amesema jimbo la Kwimba lilikuwa na watu waliojiandikisha kupiga kura  170671 na waliopiga kura  ni 61632.


Wagombea walikuwa wa vyama vitatu

Demokrasia makini Mhe.Kiteja ambaye amepata kura 923

CUF Mhe.Joseph Boniphace ambaye amepata kura 1917 na

 CCM Mhe.Shanif Mansoor ambaye amepata kura 57,943

Hivyo Bib. Pendo Malabeja amemtangaza Mhe.  Mansoor kuwa mshindi wa ubunge jimbo la Kwimba.

Mhe.Mansoor Mbunge wa Jimbo la Kwimba


Aidha katika jimbo la Sumve msimamizi wa uchaguzi amesema watu wliojiandikisha kupiga kura ni 94029, waliopiga kura ni 39715 na jimbo lilikuwa na wagombea watatu matokeo yalikua kama ifuatavyo

CUF Mhe Joseph Steven amepata kura 722,. CHADEMA Mhe.Sangalali Shija amepata kura 6285 na

CCM Mhe. Emmanuel Kasalali amepata kura 31,373 hivyo msimamizi wa uchaguzi amemtangaza Mhe Kasalali kuwa mshindi wa ubunge jimbo la Sumve.

Mhe. Kasalali Mbunge wa Jimbo la Sumve

Msimamizi wa uchaguzi amewashukuru wananchi wote wa Wilaya ya Kwimba waliojitokeza kupiga kura pia amemshukuru Mungu kwa kuwa uchaguzi umefanyika na kuisha salama kwa majimbo yote mawili.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.