• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MWENYEKITI UWT TAIFA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUACHA JANJAJANJA YA KUKWEPA USHURU

Posted on: August 8th, 2024


Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Taifa Ndugu Mary Pius Chatanda amewataka wafanya biashara kuzingatia sheria na taratibu za ukusanyaji mapato


" wafanya biashara nawafahamu acheni ujanjaujanja acheni  kusafirisha mazao kidogokidogo kwenye bajaji pelekeni magari yenu makubwa mnakochukulia mazao  ili muepuke kutozwa ushuru mara mbili"


Ameyasema hayo leo kwenye mkutano alioufanya kata ya Hungumalwa na Ngudu baada ya wananchi wa kata hizo kulalamika kuhusu kutozwa ushuru wanapobeba mazao kwenye bajaji.


 Aidha Chatanda amewashauri wananchi kuzingatia taratibu za serikali ikiwa ni pamoja na kuzingatia sheria za kusafirisha mazao 


" niwashauri mzingatie sheria ukitaka kusafirisha mazao kutoka shambani kwenda nyumbani  hakikisha unapata barua kutoka kwa mtendaji wa kijiji ili usitozwe ushuru"


" hakuna Halmashauri  bila mapato, ushuru huo unaokusanywa ndio unarudi kutekeleza miradi mbalimbali kwahiyo niwashauri lipeni ushuru kwa maendeleo ya Kwimba na Taifa kwa ujumla


Awali Mwenyekiti  huyo akikagua mradi wa Kituo cha Afya hungumalwa amepongeza viongozi waliosimamia utekelezaji wa mradi huo na ameahidi kufuatilia vifaa tiba ambavyo bado havijaletwa hali inayopelekea baadhi ya hiduma kutopatikana kituoni hapo.


  Naye Kaimu Mkurugenzi  Ndug  Denis Kabogo akijibu hoja ya ushuru amesema kuwa Halmashauri  imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa ushuru bila shuruti huku akisisitiza kuwa ushuru unalipwa kwa kuzingatia sheria na taratibu za ushuru wa mazao.


Aidha Chatanda ametumia ziara hiyo kuhamasisha wananchi  kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura pia amewatangazia wanawake vijana na watu wenye ulemavu kuchukua mikopo ya Halmashauri mikopo iliyokuwa imesitishwa sasa imeshaanza kutolewa


" kachukueni mikopo ambayo haina riba mikopo ya rais Samia haina riba achaneni na mikopo umiza, kausha damu na mikopo mingine inayowatesa kurejesha" amesema chatanda.


Wananchi walioshiriki mikutano hiyo wamemshukuru kiongozi huyo kwani wamepata wasaa wa kuuliza hoja mbalimbali na zimepatiwa majibu

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.