• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

NMB YAKABIDHI VIFAA VYENYE THAMANI YA MILION 62

Posted on: June 6th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Benki ya NMB kwa kutoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shililingi milioni 62 katika sekta za Elimu, Afya na huduma zingine za kijamii vikielekezwa kuchagiza maendeleo.


Hayo yamejili mchana wa leo Juni 06 , 2024 katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Hospitali, Shule, kituo cha Polisi Malya na Gereza kwenye viwanja vya Hospitali ya wilaya ya Kwimba ambapo baada ya kukabidhiwa naye amevikabidhi ili vikaanze kutumika.


Mhe. Mtanda ameongeza kuwa katika hisa za Benki hiyo asilimia 31.8 ni za Serikali lakini benki hiyo imekua bega kwa bega kusaidia wananchi kwa kushirikiana na Serikali katika mambo kadha wa kadha  ya kijamii.


Aidha, amewataka wananchi wa Kwimba na wana Mwanza wote kuichagua benki ya NMB katika huduma za kifedha kwani wana bidhaa bora na za kisasa hususani mikopo kwa jamii katika kukuza mitaji ya biashara.


Godfrey Martine, Kaimu Meneja NMB kanda ya ziwa amesema kuwa wanajivunia kuchangia maendeleo ya wananchi kwa kutoa sehemu ya faida kwenye miradi mbalimbali hususani sekta za elimu na afya.


Aidha, amebainisha kuwa pamoja na NMB leo kutoa madawati, bati na vifaa vingine vya kuezekea, vifaa vya Hospitali, Viti na Meza kwa ajili ya kituo cha Polisi Malya, vifaa vya Magereza vikiwa na thamani ya jumla ya shilingi milioni 62 wanafanya hivyo kwa miaka saba mfululizo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.