• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAKULIMA WAASWA KUTOCHAFUA PAMBA KWA LENGO LA KUONGEZA UZITO

Posted on: November 10th, 2021

Mhe. Aggrey Mwanri akiendelea kutoa elimu ya kilimo bora cha Pamba katika vijiji vya Nyagh'onge, Sangu, Bupamwa, Kikubiji na Shirima leo tarehe 10/11/2921 amewaasa Wakulima kutochafua Pamba wakati wa mavuno kwa lengo la kuongeza uzito.


Mhe. Mwanri amesema  kuwa Wakulima wengi wanapunguza ubora wa pamba kwa kuweka vitu mbalimbali vinavyopelekea pamba hiyo kushuka thamani.


" mnaweka mchanga, kokoto, mafuta ya kenge na hiyo haitoshi mnapiga sindano yaani kunyunyiza maji ili iwe nzito, kufanya hivyo mnachafua Pamba na hii inakufanya ulipwe robo ya bei ya pamba au isinunuliwe kabisa, nani ananunua hiyo takataka? Wananchi acheni mchezo huo"  amesema Mwanri


Katika mafunzo hayo Wananchi wamepata nafasi ya kujifunza kupalilia Pamba  kwa kutumia Jembe maalum la kupalilia linalokokotwa na Wanyama kazi yaani ng'ombe au punda, ambapo Mkulima akitumia jembe hilo anauwezo wa kupalilia ekari moja kwa masaa mawili tu.


Afisa Kilimo kutoka bodi ya Pamba Ndug. Renatus Luneja amewashauri wakulima kutumia jembe hilo ambalo litawarahisishia kazi ya upaliliaji na hivyo kuwaharakishia kazi za kilimo . Jembe hilo linapatikana  kwa bei ya shilingi 250,000 ambapo mkulima atatoa Laki moja ili apewe jembe hilo kisha fedha nyingine atalipa baada ya mavuno, utaratibu wa kupata majembe hayo utafanyika katika Ofisi za vijiji.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.