• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

RAS BALANDYA AELEKEZA KUKAMILISHA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: June 17th, 2025



Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana ameziagiza halmashauri za mkoa huo kujenga tabia ya kutenga fedha na kupeleka kwenye miradi ya maendeleo ili ikamilike na huduma ziweze kutolewa kwa jamii.

Katibu tawala ametoa maagizo hayo leo tarehe 17 juni, 2025 wilayani Kwimba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wakati akiongoza baraza maalum la hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa halmashauri hiyo katika mwaka wa fedha unaoishia juni 30, 2024

Balandya ameitaka halmashauri kulipa madeni ya wazabuni na kuwasilisha madeni ya watumishi ili kuondoa hoja ya madeni ya wazabuni na watumishi.

Vilevile, ametumia baraza hilo kuwakumbusha kuwa ni matakwa ya kisheria yanayotaka kupelekwa kwa fedha asilimia 40 ya mapato yote yanayokusanywa kutoka kasma ya mapato ya ndani.

Naye, Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija ameliasa baraza hilo kujenga tabia ya kufanyia kazi hoja za CAG zinapoibuliwa kwa kuwasilisha nyaraka zinazohitajika kisheria kama vile viambatisho na ushahidi wa manunuzi ili kujenga halmashauri hiyo kwa pamoja.

"Watendaji wenzangu kila mmoja wetu akatimize wajibu wake, tukashirikiane kwenye kazi zetu kila siku ili kuijenga halmashauri yetu kwahiyo daima tuwe wamoja na nawatakia kila la kheri kwenye uchaguzi", amesema. Balandya.

Akitoa taarifa ya ukaguzi, Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Nje Mkoa wa Mwanza ndugu Henry Chausa amebainisha kuwa halmashauri hiyo ilifanyiwa ukaguzi kwa mwaka unaoishia juni 2024 na kupata hati inayoridhisha na kwamba kwa miaka mitatu mfululizo imepata hati hiyo.

Matangazo

  • MAKALA YA JUNI 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • DC LUDIGIJA AHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI MKUU 2025

    October 02, 2025
  • KIONGOZI MWENGE WA UHURU AIPONGEZA KWIMBA KUONGEZA WIGO UKUSANYAJI MAPATO

    August 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI KWIMBA UKITOKEA MAGU

    August 28, 2025
  • DED MKOGA ASISITIZA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI KUTOFICHWA

    August 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.