• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

RC MAKALA AHIMIZA WATUMISHI KUTOA HUDUMA BORA

Posted on: June 2nd, 2023



Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mheshimiwa  Amos Makalla amewataka watumishi wa umma kutoa huduma bora Kwa wananchi wanaofika katika maeneo yao ya kazi kwaajili ya kupata huduma.


Ameyasema hayo leo Juni 2,2023 wakati akijitambulisha kwa viongozi na watumishi wa Wilaya ya Kwimba " nimefurahi kufika Kwimba na nimekuja kuwakumbusha kuwa tupende kazi zetu,watumishi wa Serikali tutoe huduma bora, tuwe wasikivu, tuwe na nidhamu na tufanye kazi"  amesema Makala


Mkuu huyo amesisitiza nidhamu ya kazi na kufanya kazi kwa bidii Ili kujiongezea kipato na kupata mafanikio ambayo ni hitaji la Kila mwananchi " fanyeni kazi hakuna mafanikio yanayokuja kama miujiza kama baadhi ya viongozi wa dini na waganga wa jadi wanavyosema haipo, njia peke ya kupata mafanikio ni kufanya kazi" Makala


Aidha Mheshimiwa Makala ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kwa kutoa fedha za mapato ya ndani zaidi ya 40% kwaajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Pia amesisitiza ulinzi wa vifaa vinavyotumika kutekeleza miradi ya maendeleo ' tukiruhusu wizi wa vifaa  tunajiibia wenyewe' tuimarishe ulinzi ili miradi yote ikamilike kwa wakati.


Mheshimiwa Makala ameahidi kutoa ushirikiano kwa wananchi wote na viongozi wa Wilaya ya Kwimba ili kutoa huduma na kufikia maendeleo ambayo ndio shauku ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt Samia Suluhu Hassan.


Viongozi walioshiriki kikao hicho wameahidi kwenda kufanyia kazi maelekezo aliyotoa Mkuu wa Mkoa " tunakuahidi kwenda kufanya kazi, kuhudumia wananchi, na pale penye tatizo tutalitatua ili tuwafikie wananchi kama inavyotakiwa" amesema Mhe. Thereza Lusanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.