• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

RC MALIMA AITAKA KWIMBA KUONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: January 15th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima ameitaka  Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kuwa wabunifu kwenye ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuweza kuongeza mapato na bajeti.


Amesema hayo leo (Januari 15, 2023) wakati wa kikao kazi cha pamoja na Halmashauri ya Kwimba kilichojadili kuhusu vigezo muhimu vya kuzingatia katika maandalizi ya bajeti ya mwaka 2023/24.


 Malima amesema uhai wa Halmashauri yoyote hutegemea sana makusanyo ili kukidhi Utekelezaji wa shughuli za kila siku kupitia bajeti zilizopangwa na kwa mujibu wa sheria hivyo  wanapaswa kuwa na mpango wa kukusanya mapato mengi zaidi.


“Kwa jinsi nilivyowasikiliza nimebaini mna vyanzo vizuri sana vya mapato na mnaweza kukusanya zaidi hata ya Bilioni Tano na wala sio kama mlivyokadiria wenyewe kufikia kwenye Bilioni 3.1  tu na bora mngekadiria fedha nyingi ili mjitume zaidi” Malima.


Naye, Katibu Tawala Mkoa Balandya Elikana ameitaka Halmashauri kuhakikisha inatenga bajeti ya mapato ya ndani  kwaajili ya kununua taulo za kike za wanafunzi wa shule za sekondari wale wasio na uwezo wa kununua taulo hizo


“madiwani simamieni hili bajeti ijayo mpange kuwanunulia taulo watoto wa kike ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuwanunulia watoto wao, msisubiri fedha za Serikali kuu tu  wekeni bajeti kwenye mapato ya ndani”  amesema Balandya


Akitoa taarifa ya Halmashauri, Mkurugenzi Mtendaji Bi.Happiness Msanga amefafanua kuwa kwa mwaka 2023/24 Halmashauri imekadiria  kukusanya zaidi ya Bilioni 3  wakati kwa mwaka wa fedha unaoendelea

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.