• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

SERIKALI YATOA MILIONI 80 KWAAJILI YA UJENZI WA HOSTELI BUPAMWA

Posted on: October 9th, 2020

Mgeni rasmi Ndug.Nyakia Ally Katibu tawala wilaya akihutubia  katika mahafali ya kidato cha nne Shule ya Sekondari Bupamwa tarehe 09/10/2020 amesema pamoja na shule kupokea milioni 80 kwa ajili ya ujenzi wa hosteli bado shule inauhitaji wa hosteli nyingine kwani wanafunzi ni wengi na wanatembea umbali mrefu kufika shuleni.Vilevile amewashauri wazazi wa wanafunzi kuongeza ushirikiano na shule ili kuwasaidia wanafunzi kufanya vizuri kwani wazazi wameaswa kutowaozesha wanafunzi wa kike kwa lengo la kijipatia Ng'ombe na fedha,kwani katika shule hiyo kuna Mwanafunzi aliyekimbia nyumbani kwao kwasababu wazazi wake walitaka aache masomo ili aolewe.Pia amesema wanafunzi ambao ni watoro watakamatwa wazazi wao ili wazazi waone umuhimu wa kuhamasisha wanafunzi kupenda masomo.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Bupamwa Mwalim Helman Daudi Shingisha akisoma risala ya shule  kwenye mahafali hiyo  amesema shule inapata changamoto ya wanafunzi kuacha shule na wengine kuwa watoro wa lejaleja kutokana na wazazi kutowahamasisha wanafunzi kupenda masomo, umbali  mrefu kutoka nyumbani hadi shuleni na sababu nyingine za kibinafsi.Mkuu huyo ameorodhesha changamoto za shule hiyo ikiwemo nyumba za walimu kutokuwa na umeme,kukosekana kwa mashine ya kurudufu (photocopy machine) ambapo wageni waliohudhuria mahafali hayo wameweza kuchangia fedha zaidi ya milioni tatu na mwingine ameahidi kuwaletea mashine ya kurudufu ifikapo mwezi wa 12.


Wanafunzi wa shule ya Sekondari Bupamwa wameishukuru serikali kwa kuleta fedha za kujenga hosteli lakini wameiomba serikali kuongeza hosteli nyingine ili wanafunzi wote waweze kuishi shuleni waepukane na adha ya kutembea umbali mrefu ( kilomita 32 kwenda na kurudi) hali inayowapelekea kufika shuleni wakiwa wamechoka na hivyo kutojisomea vizuri


Mgeni rasmi Ndug.Nyakia  akikabidhi vyeti kwa wahitimu 

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.