• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

SHULE YA MSINGI KAKAORA YAANZA UJENZI WA BWENI LA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU

Posted on: August 22nd, 2022

Wakazi wa kata ya Ngudu Wilayani Kwimba leo tarehe 22/08/2022 wameshiriki katika uchumbaji wa msingi kwa ajili ya ujenzi wa bweni la watoto wenye ulemavu (viziwi, vipofu, wenye ulemavu wa viungo na albino) katika Shule Ya Msingi Kakora iliyopo ngudu. Halmashauri Ya Wilaya Ya Kwimba inajumla ya wanafuzi wenye ulemavu mia tano sabini (570) huku Shule ya msingi kakora  ikiwa na watoto wenye ulemavu tisini na nne (94). 

Afisa elimu wa elimu maalum wilaya ya kwimba Mwalimu Faraja Isaya Chubwa amesema kuwa Halmashauri  imepokea kiasi cha shilingi  milioni mia moja (100) kwaajili ya ujenzi wa bweni la watoto wenye ulemavu katika shule ya msingi kakora, kiasi hicho cha fedha kitasaidia katika kukamilisha ujenzi  wa jengo na  miundo mbinu yamaji safi na maji taka ya  bweni hilo.

Aidha Afisa huyo amesema bado  kuna uhitaji mkubwa wa mabweni ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu kwani wanafunzi wengi wanashindwa kuhudhuria Shuleni kutokana na umbali kutoka nyumbani hadi Shuleni.  Amesisituza kuwa  ujenzi wa bweni hilo utasaidia wanafunzi wengi wenye mahitaji maalumu kupata Elimu.

Naye Mwalimu Mkuu  wa shule ya msingi Kakora Faida Daniel  amesema anayo  furaha kubwa  kupokea mradi huo wa ujenzi wa Bweni kwa ajili ya watoto wenye ulemavu katika shule yake kwani anaamini kabisa mradi huo utasaidia kuongeza hali ya ufaulu kwa wanafuzi wenye ulemavu. Lakini pia ameiomba Serikali kaujili walimu wenye taaluma ya kufundisha watoto wenye ulemavu kwani walimu waliopo sasa wengi hawana taaluma ya kufundisha watoto hao kitu kinachopelekea kushuka kwa ufaulu wa wanafunzi hao.” Niiombe Serikali iendelee kuajili walimu wa wanafunzi wenye ulemavu ili kurahisisha kazi ya ufundishaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu” amesema Faida Daniel

 Wananchi nao wametoa maoni yao juu ya mradi huo wa ujenzi wa bweni hilo. John Mwibonya Lwambo mkazi wa Ngudu amesema kuwa serikali imefanya kitu bora sana kwani itasaidia kwa kiasi kikubwa sana katika ufaulu wa wanafunzi hao hivyo ameiomba Serikali kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Wilaya ya Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.