• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAADHIMISHWA WILAYANI KWIMBA KWA KUSHIRIKI MAONYESHO NA MICHEZO

Posted on: March 8th, 2022

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, ambayo huazimishwa tarehe 3 Machi kila mwaka, Wanawake wa Wilaya ya Kwimba wamesherehekea kwa kushiriki michezo mbalimbali ikiwemo kukimbiza kuku, kukimbia kwenye gunia, kuvuta kamba na michezo mingine.


Mheshimiwa Johari Samizi Mkuu wa Wilaya ya Kwimba ambaye alikuwa Mgeni rasmi wa sherehe hiyo Akiongea na wanawake hao amewaasa  kufanya kazi kwa bidii ili kuchagiza maendeleo ya Wilaya na Taifa kwa ujumla. Mkuu huyo amewasisitiza Wanawake kutosahau wajibu wao kama wazazi na walezi wa familia hivyo pamewaasa kufanya kazi za kiuchumi kwa bidii na kutunza familia inavyotakiwa ili kutengeneza kizazi bora cha badae.


Akielezea kauli mbiu ya Siku ya Wanawake iliyokuwa ikisema " Kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu, Tujitokeze kuhesabiwa" amesema maendeleo endelevu hayawezi kuja kama wanawake wote hatutafanya kazi kwa bidii na kutoa malezi bora kwa watoto wetu, vilevile amesisitiza Wananchi kuwa tayari kuhesabiwa pindi kazi ya sensa itakapoanza.


Mheshimiwa Samizi amewataka wanafunzi wa kike kusoma kwa bidii na kujiepusha na vishawishi vinavyoweza kusababisha ndoto zao kutofikiwa


" jiepusheni na mafataki, wakiwafata kataeni tena wambieni kama wanapenda yunifomu wakawashonee wake zao, sisi hapa tungekatizwa ndoto zetu msingetuona hapa, kuweni na msimamo ili mfikie ndoto zenu" amesema Samizi


Naye Katibu wa CCM Ndugu Latifa Malim amewashauri wanawake kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama pindi mchakato wa uchaguzi  utakapoanza.

 

Bi Happiness Msanga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba amewashukuru Wanawake wote walioshiriki maadhimisho hayo na amewapongeza wajasiliamari waliofika na bidhaa zao ili kuonyesha na kuuza vitu wanavyovitengeneza

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.