• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

SUNGUSUNGU WATAKIWA KUTOJICHUKULIA SHERIA MKONONI

Posted on: March 1st, 2023

Kamanda wa Police Wilayani Kwimba SP Mayombo Mtaju amelitaka jeshi la Sungusungu kuacha  kujichukulia Sheria mkononi badala yake wafanye kazi za kulinda wananchi na Mali zao maana ndilo jukumi lao kubwa, pamoja na kukamata wahalifu siyo kuwapa adhabu ya vipigo,faini na kuwatenga.


Ameyasema hayo leo Machi 1,2023 wakati akiwapa Elimu ya  ukamataji salama wa wahalifu " nyie ni wasaidizi wa polisi na kwasababu mnatusaidia sisi hamtakiwi kutoa adhabu Kwa wahalifu kazi yenu ni kuwakamata na kuwapeleka kwa mlinzi wa amani( Mtendaji wa Kijiji au Kata) au mnawapeleka kituo cha police Ili hatua za kisheria zifuatwe, kazi ya kutoa adhabu niyamahakama siyo jeshi la Sungusungu" amesema Mtaju


Aidha Afande Mtaju amelitaka jeshi la Sungusungu kutoa ushirikiano katika kufichua wahalifu hasa wauaji kama wanavyotoa ushirikiano kufichua wezi wa mifugo


" niwaombe mtoe ushirikiano kufichua wauaji, inasikitisha kwamba ng'ombe wakiibiwa mnamtafuta mwizi hadi mnmpata lakini mauaji yakitokea hakuna anayejitokeza kutoa taarifa hii siyo sawa, watajeni wahalifu wote Ili tutokomeze uhalifu"


Naye Mtemi wa Sungusungu Mogani Shimbi amewashauri Sungusungu kuzingatia maelekezo yote yaliyofundishwa na kamanda Ili waweze kufanya kazi zao Kwa kuzingatia Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali.


Katika mafunzo hayo yameshiriki majeshi tisa ya Sungusungu kutoka Kata ya Mwakilyambiti ambao wamemshukuru Afande Kwa mafunzo hayo, na wameshauri mafunzo hayo yatolewe marakwamara Ili yawasaidie kuacha kufanyakazi kwa mazoea.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.