• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

TUFANYE KAZI KWA BIDII TUUTHIBITISHIE UMMA KUWA TUNAWEZA "DC" KWIMBA

Posted on: March 8th, 2021

Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kiwilaya yamefanyika Ngudu Kwimba Mgeni Rasmi Mhe.Senyi S.Ngaga Mkuu wa Wilaya ya Kwimba amewashauri Wanawake kufanya kazi kwa bidii,kila mwanamke ambaye anasimamia kazi yoyote ile aifanye kwa weredi wa hali ya juu ili kuwe na maendeleo makubwa yanayotokana na mchango wa Wanawake kama viongozi.


Aidha Mhe.Ngaga amesema Wilaya ya Kwimba inao viongozi wengi Wanawake kuanzia yeye mwenyewe, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Mwenyekiti wa Halmashauri, baadhi ya Wakuu wa Idara kama Maji,Kilimo, Maendeleo ya Jamii na viongozi wengine hivyo ameshauri watumishi wote kila mmoja kwa sehemu yake kufanya kazi zitakazo chagiza maendeleo ya Wilaya ya Kwimba.


Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ya mwaka 2021 yamebeba kauli mbiu isemayo "Wanawake katika Uongozi chachu kufikia Dunia yenye Usawa" Kupitia kauli mbiu hii viongozi waliohudhuria Sherehe hiyo wamewaasa Wanawake wote kufanya kazi kwani zama za Mwanamke kujifutika ndani zilishapitwa na wakati sasa ni kazi tu.

Katika Maadhimisho haya Wanawake wajasiliamali wa Kwimba wameweza kuonyesha bidhaa mbalimbali wanazozitengeneza ili kujiongezea kipato, baadhi ya bidhaa hizo ni  Chaki,Sabuni,Batiki,Nyungu kwa ajili ya kujifukiza,Mikoba,Mapambo na vingine vingi.Pia kupitia Risala yao wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuwapatia mikopo inayowawezesha kuendeleza miradi midogomidogo wanayoianzisha.

Katika maadhimisho hayo wamehudhuria wanafunzi wa kike ambao wameaswa kusoma kwa bidii ili kutimiza ndoto zao na kutengeneza Mazingira ya kuwa viongozi wakubwa wa badae.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.