• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

TLB-Kwimba Kushiriki Zoezi la Upandaji Miti

Posted on: November 29th, 2017


Uongozi wa chama cha Wasiona Wilayani Kwimba umeshiriki zoezi la upandji miti katika Zahanati ya  Malemve kata ya Igogwa tarahe 28 Novemba, 2017.Lengo likiwa ni kuwahimiza wananchi kupanda miti katika kaya zao  na ili kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame.

Akizungumza katika zoezi hilo  Afisa maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Ndg  Julius Swai  kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji aliwaagiza wananchi wa kata ya Malemve  kuhakikisha wanapanda miti ya aina mbalimbali katika Taasisi za serikali na maeneo wanayoishi katika msimu huu wa mvua ili kutimiza mpango wa Halmashauri  wa  kupanda miti 1,500,000  katika kata 30 za Wilaya ya Kwimba.

Pia Ndg Swai aliiomba serikari kupunguza bei ya Gesi  ili wananchi waache tabia ya kukata miti ovyo.


 Afisa maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Ndg  Julius Swai akishiriki zoezi la upandaji miti katika Zahanati ya Malemve.

 Kwa upande wake Mratibu wa TLB-Kwimba  Ndg Isack Manumbu alisema  zoezi la upandaji miti ni zoezi endelevu na linamanufaa makubwa katka maisha.

“ kupanda miti ni zoezi endelevu lisihishie hapa  kwani linamanufaa makubwa kwa vizazi vyetu na vizazi vya baadaye”




Mratibu wa TLB-Kwimba  Ndg Isack Manumbu akishiriki zoezi la upandaji miti

Naye Mwenyekiti wa chama cha watu wasioona Kwimba  Ndg Salu Kaswahili  amewaomba wananchi kupanda miti na kuitunza.

 “Yatupasa kupanda miti  na kuitunza kama Mungu  alivyopanda  bustani  na kuitunza upande wa  mashariki mwa Edeni” 

Aidha  Mwenyekiti wa kikundi cha Kazi na Maendeleo kata ya Malemve Bibi Mariam John alisema zoezi za upandaji miti limeleta hamasa kwa wananchi na aliiomba Halmashauri ianzishe kampeni ya upandaji miti katika shule zote za Msingi na Sekondari

Akihitimisha zoezi hilo Mtendaji wa kata ya Igongwa Ndg Robert Emmanuel aliwaomba wadau wengine  kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu ya vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.