• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

UZINDUZI KITUO CHA STASHAHADA YA ELIMU YA WATU WAZIMA

Posted on: December 23rd, 2021


Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba Ndugu Nyakia Ally  amefanya uzinduzi wa Kituo cha Taasisi ya Elimu ya watu wazima. Kituo hicho kimezinduliwa tarehe 22/12/2021 Katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu.


Akizindua Kituo hicho Ndugu  Nyakia amesema lengo la taasisi kuanzisha kituo cha kutolea elimu ya Stashahada ya Elimu kwa Walimu wa Shule za Msingi ni kuwarahisishia upatikanaji wa Elimu hiyo katika maeneo hayo kwani Hawatahitaji kuomba ruhusa na kwenda kukaa chuoni ili kusoma bali watasoma kipindi cha rikizo tu.


Amewasisitiza Walimu waliojiunga na mpango huo  kuitumia fulsa hiyo kusoma kwa bidii ili kujiongezea ujuzi kutokana na Elimu hiyo, pia kujiendeleza ili hatimae waweze kupata alama zitakazowawezesha kusoma Shahada.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amewataka Walimu hao kuso kwa bidii, kuitumia fulsa hiyo kujipatia Elimu kwa gharama nafuu na amewasisitiza kupangilia mda wao vizuri ili masomo yao yafanikiwe na kazi ziendelee kwa ufanisi.


" mnachukua Diploma ya Elimu msilizike, tumieni hiyo diploma mtakayoipata kama daraja la kupata degree" amesema Msanga

Katika hafla hiyo Kaimu  Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazuma Mwalimu Taison amesema Taasisi imeamua kuanzisha kituo katika wilaya ya Kwimba baada ya kugundua kuna Walimu wengi wanaohitaji kujiendeleza lakini wengi wao wanapata changamoto ya kwenda kukaa Vyuoni kusoma, hivyo kuanzisha kituo hapa kwimba kutawawezesha kusoma huku wakiendelea na kazi zao za kila siku.

Aidha Afisa Elimu Msingi Mwalimu Mabeyo Bujimu ameushukuru uongozi wa Wilaya  kwa kukubali uanzishwaji wa kituo cha kutolea Stashahada ya Elimu ya watu wazima kwani kituo hicho kinalenga kuwainua Walimu wengi ambao walikuwa bado hawajajiendeleza.Pia amewasisitiza Walimu kuitumia nafasi hiyo vizuri ili kutimiza malengo yao ya kupata stashahada ya Ualimu na kisha wasikomee hapo wajiendeleze zaidi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.