• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

VIONGOZI WA HALMADHAURI WATAKIWA KUFANYA KAZI ZENYE TIJA

Posted on: September 7th, 2022


Ikiwa ni utaratibu wa baraza la Madiwani kuchagua makamu Mwenyekiti kila  mwaka na wajumbe wa kamati mbalimbali ikiwemo kamati ya Elimu na Uchumi, leo tarehe 7, Sept 2022 Madiwani wamemchagua Hole Mashauri  Diwani wa Kata ya Mantare kuwa Makam Mwenyekiti na madiwani wengine wamechaguliwa kuongoza kamati mbalimbali ikiwa ni pamoja na kamati ya uchumi na Elimu.


Kabla ya uchaguzi huo Mkuu wa Wilaya ya Kwimba  Mhe. Johari Samizi amewataka madiwani hao kuchagua viongozi watakaoweza kuisaidia Halmashauri kufikia  malengo ya maendeleo


“tunatarajia kuona viongozi watakaochaguliwa wawe niwale ambao wakotayari kufanyakazi kwa maslahi ya Serikali,watu watakaoisaidia Halmashauri kufikia malengo, viongozi watakaofanya kazi za maendeleo siyo kuleta migogoro” amesema Samizi


Baada ya maelekezo hayo Mheshimiwa Hole Mashauri alipewa nafasi ya kujinadi kwa madiwani ili waweze kumchagua kuwa Makam Mwenyekiti ambapo nafasi hiyo ameitumia vyema kuwataka madiwani wote bila kuzingatia vyama vyao kumchagua jambo ambalo limefanikiwa kwa kiwango kikubwa kwani baada ya kura kupigwa,kura  zote zilikuwa za ndiyo ikimaanisha madiwani wote wamekubaliana naye.


Aidha  baada ya uchaguzi huo Mkuu wa Wilaya amewapongeza  viongozi wote waliochaguliwa na amewataka kufanya kazi kwa upendo na ushirikiano ili kuchochea ari ya maendeleo na kutatua changamoto za wananchi.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.