• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

VIONGOZI WAASWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO KWA UMAKINI

Posted on: August 19th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari M.Samizi amewataka viongozi wa ngazi zote ndani ya Wilaya kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo kwa umakini na weredi wa hali ya juu.Haya ameyasema katika Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya nne mwaka 2020/2021  uliofanyika tarehe 18 Agosti,2021 kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.Mkuu huyo ameyasema hayo kutokana na ziara aliyoifanya wiki iliyopita ya  kutembelea miradi inayotekelezwa na kukuta badhi ya miradi kutokuwa na ubora unaotakiwa.Amewasisitiza Madiwani kufanya kazi kwani muda wa Kampeni ulishapita sasa ni kazi tu   "muda wa kampeni umekwisha twendeni tukafanye kazi,tusijaribiane kwenye kazi,hili ndilo shamba langu sitarajii mtu kunivurugia Shamba,hatutarajii mtu yeyote kuvuruga kazi inayoendelea" amesema Johari

Aidha Mhe. Johari amejitambulisha kwa Waheshimiwa Madiwani kwani baadhi yao alikuwa bado hajakutana nao, kisha amewaomba ushirikiano kwa kipindi chote atakacho tumika kama Mkuu wa Wilaya ya Kwimba. Amewasisitiza Madiwani kutoa Elimu ya ugonjwa wa COVID 19 kwa Wananchi na kuwahamasisha wananchi kwenda kuchanjwa ili kuboresha kinga dhidi ya virus vya corona. 





           Bi.Happiness J.Msanga  Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

Katika Mkutano huo wenyeviti wa kamati mbalimbali wametoa taarifa za shughuli zinazoendelea katika kamati zao ambapo hoja mbalimbali zimeibuka ikiwemo Shule zisizo na Walimu wa Kike zitafutiwe ufumbuzi,uvuvi haramu katika bwawa la Mahiga udhibitiwe na kamati ya fedha ifanye ziara kwenda kujifunza utaratibu unaofanyika katika Mikoa inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ili wapate ujuzi wa kusimamia uchimbaji wa madini unaofanyika katika Wilaya ya Kwimba kwani shughuli hiyo imeonekana kusuasua katika ukusanyaji wa mapato.

Mkutano huo umehudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Kwimba ambaye amewakaribisha Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi katika Wilaya ya Kwimba kwani viongozi hao ni wageni, kisha ameshauri usimamizi mzuri  wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya ya Kwimba.

   Mansoor S.Hiran(MB) Jimbo la Kwimba





Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.