• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

VIONGOZI WATAKIWA KUENDELEA KUSIMAMIA MIRADI YA UJENZI HUKU WAKIZINGATIA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Posted on: November 12th, 2021

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amewataka viongozi kuendelea kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa madarasa 109,Vituo vya Afya, madaraja na ujenzi wa matanki ya maji huku wakizingatia utunzaji wa mazingira.


Ameyasema hayo leo tarehe 12/11/2021 wakati alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani Kwimba. Akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule za Sekondari Bungulwa, Walla na Ngula ameshauri ujenzi wa madarasa hayo uzingatie ubora na thamani ya fedha ionekene baada ya majengo hayo kukamilika kwa wakati, katika usimamizi wa miradi hiyo amesisitiza uaminifu na uadirifu.


Pia amewataka kuhakikisha wanapanda miti ya matunda na ya vivuli katika mazingira ya Shule ili kutengeneza uhalisia wa kile walimu wanachokifundisha lakini kupanda miti katika maeneo mengine ili kutunza mazingira na kupambana na  mabadiriko ya hali ya hewa, amesisitiza kuwa hali ya Kwimba inatakiwa kubadirika kwa kupanda miti mingi katika maeneo yote.


Katika ziara hiyo Samike amekagua ujenzi wa daraja kata ya Walla na kumtaka mhandisi kuendelea kusimamia ubora wa daraja hilo vilevile amewataka wahandisi kuongeza kasi ili daraja likamilike na kuanza kutumika.


Aidha Katibu Tawala huyo amefika kwenye mradi wa tanki la maji unaotekelezwa na wakala wa maji vijijini RUWASA na kuwataka kufika Disemba mradi huo uwe umekamilika ili wananchi waanze kupata huduma ya maji katika kijiji hicho.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.