• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

VODACOM WAKABIDHI MATUNDU 14 YA VYOO SHULE YA MSINGI MWALUJO

Posted on: September 8th, 2023



Kampuni ya Mtandao wa simu Vodacom limekabidhi matundu 14 ya vyoo katika Shule ya msingi Mwalujo iliyopo Kata ya Mwamala Wilayani Kwimba.


Akikabidhi Mradi huo Ndugu Agapinus Tax Mkurugenzi wa vihatarishi na ithibati wa Vodacom amesema Vodacom inaedelea kutekeleza miradi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania ambapo kwa Wilaya ya Kwimba Vodacom imejenga matundu 14 ya vyoo yenye thamani ya milioni 160


"msaada huu ni pamoja na juhudi za Vodacom kuunga mkono juhudi za Serikali za kuboresha utoaji wa Elimu Kwa wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuwaboreshea mazingira ya kujifunza maana kila mtoto ana haki ya kupata Elimu bora kwahiyo inatakiwa iwe Elimu bora kwenye mazingira safi na salama" mesema Taxi


Naye Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Rozalia Magoti akipokea mradi huo ameishukuru kampuni ya Vodacom kwa ujenzi huo wa vyoo na amewaomba wasiishie hapo waendelee kuleta misaada ya namna hiyo Ili kuendelea kuboresha Elimu. Pia  amewataka wanafunzi na Walimu kuhakikisha wanatunza miundombinu hiyo Ili iweze kutumika kwa kipindi kirefu kama ilivyokusudiwa


Wanafunzi wa Shule hiyo pamoja na Walimu wao wamefurahi sana na wameishukuru Vodacom kwa kuona umuhimu wa kujenga vyoo katika Shule yao

" tunaishukuru Vodacom kwa kutujengea vyoo maana tulikuwa na vyoo vibovu sana lakini sasa tumepata vyoo vya kisasa tunaahidi kuvitunza"  amesema Mwanafunzi Jacob Simon Mteka

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • AJIRA MPYA June 08, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA WILAYA YAKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 19, 2023
  • DC AKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 14, 2023
  • VODACOM WAKABIDHI MATUNDU 14 YA VYOO SHULE YA MSINGI MWALUJO

    September 08, 2023
  • ZIARA YA MAFUNZO MIKUMI

    August 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.