• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Wadau Mbalimbali wa TLB Kwimba Wafanya Kikao cha Kimkakati

Posted on: January 5th, 2018

Wadau mbalimbali wa Chama cha Watu Wasioona Kwimba  wamefanya kikao cha kimkakati  tarehe 3-4/ Januari, 2018 katika ukumbi wa Klasta Kakola. lengo likiwa ni kuendea kutekeleza  Mradi wa Ushawishi, Uzengezji na Utetetezi kwa watu wenye ulemavu ili kushiriki katika fulsa mbalimbali katika maamuzi na kupatiwa haki zao.

 “Tanzania ni nchi iliyojengwa kwa kufuata misingi ya usawa na haki kwa wananchi wote. kila mwananchi ana haki sawa kisheria ya kushiriki kikamilifu katika mambo muhimu yanayomuhusu yeye mwenyewe na jamii nzima kwa ujumla hivyo  watu wenye ulemavu wana haki ya kupata mahitaji ya msingi kama watu wasiyo na ulemavu hivyo basi tusiwatenge”.

Hayo yalisemawa na Mratibu Chama cha Wasioona Kwimba Ndg Isack Manumbu  wakati akiutambulisha Mradi kwa  wadau wa Chama Cha Wasioona.

Akiongea katika kikao hicho Mkuu wa kitengo cha Elimu Malaalum Bibi Elizabeth Tenga aliishauri jamii kuachana na mira potofu kwa  watu wenye Ulemavu  ambapo baadhi ya wazazi na walezi kuwaona watoto wenye ulemavu kama mzigo hivyo kutowapeleka Shule.


Mkuu wa kitengo cha Elimu Malaalum Bibi Elizabeth Tenga akichangia mada wakati wa kikao

Kwa upande wake Ndg Shija Spea Mdau kutoka Kibitilwa aliiomba Serikali kuhakikisha inawapatia watu wenye ulemavu nyezo za kujimudu ambazo zinaweza kuwawezesha  kufika katika vituo vya afya kwa urahisi  ili kupata huduma za afya wanazostahili.

Akienelea kuchangia Mwl Asia Khamisi kutoka shule ya Msingi Kakola  aliiomba Serikali na Jamii kwa ujumla kuhakikisha inaboresha miundombinu katika sehemu za kutolea huduma ili kupunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ulemavu. 

Kwa kuongezea   Ndg Jonson Muyombya mwezeshaji wa kikao mkakati  kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba  alisema  wadau wote wa Chama cha Wasioona Kwimba tuhakikishe tunatumia nafasi zetu vizuri.

“Tuhakikishe tunatumia nafasi zutu vizuri katika kutekeleza haki za watu wenye ulemavu ikiwa ni pamoja na kuwapenda,kuwaheshimu,kuwatunza na kuwathamini”. 

Ndg Muyombya aliendelea kuchangia kwa kuwakumbusha wadau wote kuwa  tuhakikishe tunaenda kuwa marafiki wa walemavu na siyo kuwa maadui kwenye jamii tunazoishi.


Baadhi wa Wadau wa Chama cha Watu Wasioona Kwimba wakijadili Mada katika Makundi.

Naye Mwl Mariam Maguli  kutoka kitengo cha Elimu Maalum katika shule ya Msingi Kakola aliishauri jamii kuwapeleka watu wenye ulemavu katika vyuo vya ufundi vinavyotoa mafunzo ya stadi za kazi kwani yanampa mtu mwenye ulemavu nafasi ya kupata ajira.

Wadau mbalimbali wa Chama cha Wasiona chini Mradi wa " Ushawishi, Uzengezji na Utetetezi kwa watu wenye ulemavu ili kushiriki katika fulsa mbalimbali katika maamuzi na kupatiwa haki zao"  Wilayani Kwimba wametoka katika kata ya Igongwa, Mwagi, Bungulwa, Nkalalo, Iseni, Nyambiti, Ngh’undi, ,Mwakilyambiti na Ilula Wilayani Kwimba.


































Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.