• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WADAU WA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA WAWEKA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA RUSHWA

Posted on: September 4th, 2024


Wadau wa kuzuia na kupambana na Rushwa wamedhamiria kutokomeza Rushwa kwa kutoa elimu ya madhara ya rushwa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa, majukwaa mbalimbali yanatarajiwa kutumika kuelimisha wananchi.


Haya yamejiri kwenye Semina ya wadau wa kuzuia na kupambana  na Rushwa iliyofanyika leo Septemba 4,2024 kwenye ukumbi wa Klasta.


Akiwasilisha mada ya semina hiyo Kamanda  wa TAKUKURU  Wilaya ya Kwimba Julian Augustine  amesema madhara ya rushwa kwenye kipindi cha uchaguzi yanaweza kupelekea jamii kupata viongozi ambao siyo chaguo la Wananchi wengi.


" jukumu la kupambana na rushwa ni la wananchi wote kwahiyo niwaombe viongozi wa dini tumieni madhehebu yenu kuelimisha wananchi madhara ya rushwa" Juliani


Kamanda Juliani ametumia wasaa huo kuvitaka vyombo vya Habari kutumia teknolojia  ya habari kutoa elimu kwa wananchi juu ya madhara ya rushwa.


Nao wadau wamepanga mikakati ya kwenda kutoa elimu kwa wananchi na kutoa taarifa kwa vyombo husika pindi watakapoona viashiria vya rushwa mahali popote.


Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba akijitambulisha kwa kundi hilo la viongozi wa dini, wawakilishi wa vyama vya siasa, vyombo vya Habari na Asasi za Kiraia  ameomba  ushirikiano katika kutekeleza shughuli mbalimbali za serikali.


Semina hiyo iliyokuwa na kauli mbiu inayosema " kuzuia rushwa ni jukumu langu na lako,tutimize wajibu wetu" imewaandaa wadau hao kwenda kuwa waelimishaji.


Katika semina hiyo ameshiriki Afisa uchaguzi wa Halmashauri Ndug Reginald  Clavery ambaye ameeleza kanuni zinazoongoza uchaguzi wa Serikali za mitaa, sifa za mpiga kura na sifa za mgombea.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.