• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WADAU WA PAMBA WATAKIWA KUZINGATIA TARATIBU ZA UNUNUZI WA ZAO HILO

Posted on: May 24th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi amewataka wadau wa zao la Pamba kuhakikisha wanazingatia taratibu za ununuzi wa zao hilo kutoka kwa wakulima. Ameyasema hayo leo tarehe 24,Mei 2022 kwenye kikao cha Wadau ambao ni  Vyama vya msingi vya ushirika(Amcos),Kampuni za ununuzi wa Pamba na Maafisa Ugani na Viongozi wengine, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu.


" kila mtu ale kwa jasho lake, tuache wakulima wanufaike na jasho lao hata kama tuliwawezesha kwa mbegu na vitu vingine lakini bado wao ndio wanaotoka jasho mashambani" amesema Samizi


Mkuu huyo amewasisitiza wadau hao kuwa katika msimu huu wa Pamba uuzaji utafanyika kwa kutumia Amcos na Kampuni hivyo Kijiji kimoja kitakuwa na madirisha yaani vituo vya kuuzia pamba zaidi ya kimoja hivyo Mkulima atachagua aende kuuza kituo gani ambacho kitakua na bei inayomridhisha.Aidha Mhe. Samizi amesisitiza kuwa mtu yeyote atakayegundulika kununua kinyume na taratibu hatua kari za kisheria zitachukuliwa.


Katika kikao hicho Amcos wamesisitizwa kutunza kumbukumbu sahihi ili wakulima wapate mapato yatakayotokana na pamba iliyoletwa. Pia amewasisitiza kuhakikisha wakati wa ununuzi wa Pamba mizani yote itakayotumika iwe sahihi " Mizani isichezewe, nasisitiza muache tabia ya kuchezea mizani ili muwaibie wakulima atakayegundulika atafungwa" amesema Samizi


Naye Afisa Kilimo wa Wilaya ya Kwimba Mhandis Magreth Kavalo amewaelekeza wadau hao majukumu yao wakati wa ununuzi wa Pamba, pia amesasisitiza kufanya ushindani wa bei ili kila mfanyabiashara anunue pamba  kulingana na uwezo wake " tunachokitaka ni ushindani wa bei, hakuna kuchagua mtu wa kufanyanae biashara ila bei ndiyo itamfanya Mkulima alete Pamba" amesema Kavalo


Wadau wa pamba wametangaziwa bei ya Pamba iliyoko sokoni kwa sasa ambayo ilitangazwa rasmi na Serikali kuwa ni Shilingi 1560 kwa kilo moja ya Pamba, Hivyo Mkulima hatakiwi kuuza pamba chini ya bei hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.