• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAFANYABIASHARA WASHAURIWA KUANZISHA VIWANDA ILI KUINUA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA

Posted on: September 1st, 2021

Mwenyekiti wa Baraza la biashara ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi amewashauri wafanya biashara wa Wilaya hii kuanzisha viwanda vya kusindika na kutengeneza vitu mbalimbali vitakavyochochea maendeleo katika Wilaya ya Kwimba.  Haya yamejitokeza kwenye mkutano wa baraza la biashara uliofanyika tarehe 31,Agosti 2021 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.


Katika baraza hilo Daktari Farid Saleh amewashauri wafanyabiashara  kuanzisha kiwanda cha kutengeneza dripu  kwaajili ya matumizi ya Hospitali, zahanati na Vituo vya Afya ameshauri kuwa endapo vifaa vitapatika Wilayani itapunguza gharama za kuvisafirisha kutoka mbali, pia itachagiza maendeleo  kwani vijana wengi watapata ajira katika viwanda hibyo.Amesisitiza kuwa mfanyabiashara atakayeanzisha kiwanda hicho atapewa ushirikiano wa kitaalamu na Wataalam wa Afya.


Aidha Meneja wa TRA  Ndug. Mihayo K.Mitili ametoa elimu kuhusu kodi ya majengo inayokatwa kupitia LUKU Tanesco. Amesema wamiliki  wa nyumba zenye mita zaidi ya moja wafike ofisi za TRA hapo watapewa fomu za kujaza zitakazoonyesha mita ipi itumike kulipia kodi ya jengo kati ya hizo mita zote endapo wamiliki hawatajaza fomu hizo mita zote zitakatwa kodi ya jengo. Meneja ameshauri wananchi kufika ofisini kwake ili kupa maelekezo zaidi kuhusu kodi za majengo.


Baraza hilo limehudhuliwa na kiongozi wa stesheni   (Station Master) wa Bukwimba Nkalalo Ndug. Omari Simwanga, yeye amewashauri wafanyabiashara kujenga majengo ya biashara na nyumba za wageni pale Nkalalo kwani reli ya kisasa (SGR)  itakapokamilika eneo hilo litakuwa na watu wengi ambao watahitaji huduma za hoteli,nyumba za kupanga, huduma za kifedha( benki), usafiri na mahitaji mengine mengi hivyo amewasihi wafanyabiashara kuiona hiyo kama fursa kwao ya kwenda kuwekeza Nkalalo.





Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.