• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAKAZI ZAIDI YA 3000 KIJIJI CHA MHULYA WANUFAIKA NA MRADI WA MAJI

Posted on: September 14th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji cha Mhulya kutoka 40% hadi 90% kutokana na kuwajengea mradi wa maji wenye thamani ya Tshs. 667.1 milioni fedha za mfuko wa maji wa Taifa.


Mhe. Mtanda ametoa pongezi hizo leo tarehe 14, 2024 katika kijiji cha Mhulya kilichopo kwenye kata ya Ngula wakati akikagua mradi wa maji kutoka kwenye chanzo cha kisima kirefu cha mita 80 chenye uwezo wa kuzalisha maji lita 12,336 kwa saa ambao umekamilika tangia mwezi juni 2023 chini ya usimamizi wa RUWASA.


Aidha, amewataka wananchi kulinda miundombinu ya mradi huo na viongozi wanaosimamia jumuia ya watumia maji kuketi na wananchi na kukubaliana nao juu ya bei ya kuuziana maji kwenye mradi huo kama uchangiaji wa huduma na fedha zinazopatikana zitumike kufanya ukarabati na marekebisho ya miundombinu itakapohitajika.


Vilevile, amewahamasisha wananchi hao kujiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura na kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika i novemba 27, 2024  ikiwa ni pamoja na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba 2025.


Meneja RUWASA wilaya ya Kwimba Mhandisi Godliver Gwambasa amesema mkandarasi KPR ameshakamilisha kazi na maji yanatoka kwenye vituo vyote 9 vya kuketea maji kwenye kijiji hicho na mradi  huo kwa sasa unaendeshwa na wananchi wenyewe chini ya chombo cha kuendeshea maji (CBWSO) cha kijijini hapo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.