• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANANCHI WA KILIWI WAISHUKURU SERIKALI KWA KULETA M.584 ZA UJENZI WA SEKONDARI

Posted on: August 12th, 2023


Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi shupavu wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendele kuineemesha Kwimba kwa kuleta fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo.


Wananchi wa Kijiji cha Kiliwi Kata ya Bupamwa nao hawajakaa kimya  wameishukuru Serikali kwa kuleta fedha milioni 584 kwaajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari itakayojengwa katika Kijiji hicho.


Wameyasema hayo leo Agosti 12,2023 wakati wakichimba msingi wa majengo ya Shule hiyo ambapo madarasa nane,jengo la utawala, maabara tatu, jengo la TEHAMA, jengo la Maktaba ,kichomea tana, tangi la maji na matundu ya vyoo yanajengwa


" tunaishukuru sana Serikali kwa kuleta fedha za Shule watoto wetu walikuwa wanateseka sana kutembea umbali mrefu zaidi ya kilomita 20 kwenda Sekondari ya Bupamwa Sasa watasoma karibu" amesema Paulo Nyanda


Akiongea na Wananchi hao Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija amewataka kuwa walinzi wa mradi huo na kuendelea kutoa ushirikiano pale wanapohitajika kujitoa nguvu kazi


" niwapongeze kwa kujitoa kuchimba msingi na muendelee kujitoa pale inapohitajika nguvu kazi kurahisisha utekelezaji wa mradi huu, pia niwatake muwe walinzi wa mradi huu  sitarajii kusikia kuna kifaa kimeibiwa au kupotea" DC Ludigija


Akiwasilisha taarifa fupi  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amesema Halmashauri imepokea Bilioni 1.62  kwaajili ya ujenzi wa Shule mbili za Sekondari ya Bumyengeja Kata ya Sumve na Kiliwi Kata ya Bupamwa na mabweni mawili ambayo moja linajengwa Ngudu Sekondari na jingine linajengwa Sumve na ujenzi wa nyumba za watumishi 2/1  mbili ambapo moja inajengwa katika Shule ya Sekondari Kilyaboya na nyingine katika Shule ya Sekondari Manawa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.