• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANANCHI WAADHIMISHA SIKU YA MUUNGANO KWA KUCHIMBA MSINGI WA MADARASA YA SHULE YA MSINGI KABALE

Posted on: April 26th, 2022

Wananchi waadhimisha siku ya Muungano  wa Tanganyika na Zanzibar leo tarehe 26,Aprili 2022  kwa kushiriki uchimbaji wa msingi wa madarasa matatu na matundu sita ya Choo.


Akiongea na Wananchi baada ya kushiriki uchimbaji wa msingi,  Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi amesema anaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Kiongozi Shupavu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha za miradi katika Wilaya ya Kwimba. 


" Shule hii ya kabale ilikua na miundombinu chakavu sana hadi madarasa mengine ilibidi yabomolewe ili kuepusha majanga yanayoweza kutokea, sasa tumejenga madarasa sita kwa fedha za mapato ya ndani ambapo miliono 121 zimetolewa na Halmashauri, lakini leo tunachimba msingi wa madarasa matatu na msingi wa Choo matundu sita baada ya kupokea milion 80 kutoka Mfuko wa kunusuru Kaya masikini TASAF" amesema Samizi


Kukamilika kwa mradi huo kutasaidia wanafunzi waliokuwa wakisoma katika mazingira magumu na yasiyorafiki kwa ujifunzaji kupata Elimu katika mazingira sahihi, hii itachochea ari ya ujifunzaji.


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya hiyo Bi. Happiness Msanga amesema Halmashauri imetoa fedha kwaajili ya ujenzi wa madarasa sita katika shule ya Kabale, pia  wanayo mikakati ya kukarabati Shule zenye miundombinu chakavu, na kuongeza madawati katika shule zenye uhaba wa madawati, viti na meza.


Kukamilika kwa madarasa hayo kunatarajiwa kuwa chachu kwa Wanafunzi kupenda Shule na masomo kitu kitakachosaidia kupunguza changamotto ya utoro na hivyo kuongeza ufauru kwa wanafunzi wa Shule hiyo.


Walimu nao hakuachwa  Halmashauri inatarajia kujenga ofisi ya Walimu baada ya ukamilishaji wa madarasa sita ambayo yako hatua za ukamilishaji.


Matangazo

  • TANGAZO LA TIBA KINGA YA POLIO May 12, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WALENGWA WA TASAF WATAKIWA KUTUMIA FEDHA KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA

    May 27, 2022
  • MKURUGENZI AKABIDHIWA SIMU 119 NA TAASIS YA BENJAMIN MKAPA

    May 26, 2022
  • WADAU WA PAMBA WATAKIWA KUZINGATIA TARATIBU ZA UNUNUZI WA ZAO HILO

    May 24, 2022
  • WANANCHI WAHIMIZWA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI

    May 18, 2022
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.