• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANANCHI WAASWA KUDUMISHA USHIRIKIANO

Posted on: April 27th, 2025


Wananchi wameaswa kuendeleza ushirikiano na umoja ulioanzishwa na viongozi waasisi wa Taifa hili, haya yamesemwa na Ndugu. John Mihayo Cheyo  Mkurugenzi  kutoka TAMISEMI ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya AIC Ngudu


"kama huwezi kuhubiri au kuimba basi changia fedha ili kupitia uimbaji wao watu wamjue Mungu na Taifa liendelee kuishi kwa amani, niwasihi wote mliofika hapa tujitoe kushiriki kuiinua kwaya hii ili ienndelee kuhubiri kupitia nyimbo" amesema Cheyo


Katika uzinduzi huo wameshiriki viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Ndugu Mohamed Ngasinda  ambaye amewataka wananchi kuendelea kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 


" niwapongeze wanakwaya wote mmeimba vizuri, lakini nitumia nafasi hii kuwakumbusha wananchi wote kuwa jana ilikuwa siku ya kumbukizi ya Muungano  kwahiyo tuendelee kulinda umoja wetu, tusiruhusu watu wavunje amani yetu, wanakwimba ni wamoja tuendeleze umoja huu" pia amewaasa wanakwaya hao kuendelea kusimamia mipango yao kwa uadilifu na uaminifu.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Dkt Amon Mkoga amewapongeza wanakwaya hao kwa hatua hiyo ya kuzindua albamu ya nyimbo za injili na amewaahidi ushirikiano pindi watakapohitaji kufanya jambo linalohitaji usaidizi wake " nimefurahi sana kushirikiriki uzinduzi huu na niwapongeze kwa hatua hii, pia nimeskia kwenye risala yenu mnataka kuanzisha shule ya awali niwakaribishe ofisini kwangu kwaajili ya ushauri" Mkoga


Awali Mchungaji wa kanisa hilo Mchungaji  Mathias Mleka amewataka waumini na wanakwaya walioshiriki uzinduzi huo kuzingatia mambo makuu matano " kama mnataka kazi zenu kufanikiwa zingatieni haya umoja,uwazi,uwajibikaji,uadilifu na uaminifu mkiyazingatia haya mtafikisha injili kwa watu wote" amesema Mchungaji huyo

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.