• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANANCHI WAHIMIZWA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI

Posted on: May 18th, 2022

" Nasisitiza utunzaji wa vyanzo vya maji  haijalishi vinatumika sasa, vilitumika zaman au vitatumika badae" haya ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Samizi wakati wa kikao cha Mwaka cha tathimini ya huduma za maji vijijini kilichofanyika leo tarehe 18,Mei 2022 katika ukumbi wa Pam.


Katika kikao hicho Wananchi wametakiwa kutunza vyanzo vya maji  vinavyotumika na visivyotumika  ili kuwe na uhakika wa upatikani wa maji kwa wakati wote.


Aidha Mkuu wa Wilaya amewasisitiza  wasimamizi wa maji ngazi ya jamii kuhakikisha wanatoa Elimu kwa Wananchi juu ya umuhimu wa kutumia maji ya bomba na visima vinavyojengwa kwa lengo la kuwarahisishia upatikanaji wa maji. 


Mkuu huyo amevitaka vyombo vya wasimamia maji ngazi ya jamii kuwa na msimamo dhabiti katika kutoa huduma ya maji na kuhakikisha kila chanzo cha maji wanchokisimamia kinaendelea kujiendesha bila kuhitaji usaidizi, katika hilo amewataka kuweka bei za maji ambazo hazitawaumiza Wananchi lakini hazitafanya chanzo kishindwe kufanyiwa ukarabati pale unapohitajika.


Katika kikao hicho wadau wa huduma za maji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta miradi mikubwa ya maji katika Wilaya ya Kwimba.


"sisi tunamshukuru sana Rais kwa kutuletea mradi mkubwa wa maji wa bilion 8.4 katika Kata ya Hungumalwa kwani mradi huu ukikamilika hatutakuwa na tatizo la maji tena" amesema Majid Idrisa Mbelwa mwenyekiti Kamati ya Watumia maji LUHUNYAKI


Wilaya ya Kwimba inayo malengo ya kutoa maji kwa asilimia 85 kwa mwaka huu wa fedha ambapo mpaka kufikia leo RUWASA imefikia asilimia 72 ya kuwafikishia maji Wananchi vijijini.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.