• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Mkurugenzi awaomba Wananchi kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa Kituo cha Afya Bungulwa

Posted on: October 18th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi.Happiness Joachim Msanga  awaomba Wananchi wa Kata ya Bungulwa kuwa Walinzi na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Bungulwa. Ameyasema haya leo tarehe 18, Oktoba 2021 katika kijiji cha Isunga ambapo uchimbaji wa msingi kwaajili ya ujenzi wa Kituo hicho umeanza leo.


Akiongea na Wananchi wa Kata hiyo amewataka wanawake wote kuwa tayari kushiriki kutowaachia wanaume kwani Kituo hicho kikikamilika kitawapunguzia shida ya kwenda umbali mrefu kutafuta huduma za Afya.


" sisi wanawake ndio tunaojifungua mara kwa mara tupo hospitali,sisi ndio tunaouguza waume zetu na watoto wetu wakilazwa kwaio tuone umuhimu wa kushiriki katika usimamizi na ujenzi wa kituo hiki ili tuondokane na adha ya kwenda mbali kutafuta huduma za Afya". amesema Happiness Msanga


Katika Shughuli hiyo Kamati ya Ulinzi na usalama wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya Ndugu Nyakia Ally wameshirikiana na Wananchi wa Kata ya Bungulwa katika zoezi la uchimbaji wa msingi wa Kituo hicho.

Katibu Tawala amewataka Wananchi kushiriki katika ujenzi wa kituo hicho ili kiweze kukamilika kwa wakati na huduma za kiafya zianze kutolewa, amesisitiza kuwa Wananchi wote wanapaswa kuwa tayari kushiriki ujenzi, kulinda vifaa vya ujenzi na kuwa tayari kutoa taarifa pindi watakapoona wizi wa aina yoyote ile bila kujali mwizi ni nani.

Zoezi hilo la uchimbaji wa msingi limeshirikisha viongozi wa Chama cha Mapinduzi(CCM) ambao wameweza kuongea na Wananchi na wakawataka wananchi wote kuwa tayari kusimamia ujenzi huo ili Ilani ya Chama iweze kutekelezwa kama Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan  alivyokusudia.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.