• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANANCHI WATAKIWA KUTAFAKARI MIENENDO YAO KAMA INAEAPELEKEA KUPATA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Posted on: December 1st, 2021

Akiongea katika Hafla ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 1 Disemba ambapo kiwilaya yamefanyika katika Kata ya Bupamwa, Kijiji cha Mhalo Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwinba Ndugu Ally Nyakia amewataka wananchi wote kutafakari mienendo yao kama inawapelekea kupata maambukuzi ya UKIMWI au kuwakinga na ugonjwa huo.


"Kila mtu atafakari mwenendo wake kimaisha kuona kama mwenendo huo unamuweka katika mazingira hatarishi yakupata virusi vya UKIMWI au yanamkinga na virusi"   amesema Nyakia



Amesisitiza kuwa maadhimisho ya siku ya UKIMWI yanafanyika kwa lengo la kukumbushana kila mtu amefanya nini katika kuhakikisha maambukizi yanadhibitiwa. Amewataka Wananchi kujilinda na kuwalinda watoto wao hasa vijana ambao bado wanasoma ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao kwani watu wengi wakishapata Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) malengo yao huvurugika na kisha kukosa mwelekeo na hivyo kupoteza nguvu kazi ya Taifa.


Katibu Tawala huyo amesisitiza kuwa Wilaya ya Kwimba inaendelea kuboresha huduma za Afya ili kuwasaidia watu wanaoishi na virus vya UKIMWI kupata huduma za kiafya katika maeneo wanayoishi bila kutembea umbali mrefu kufata huduma za Afya.


Aidha Serikali inaendelea kutoa fedha kwaajili ya kuboresha huduma za Afya ambapo kwa sasa Wilaya ya Kwimba  inaendelea na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,Vituo vya Afya vitatu yaani Kadashi,Bungulwa na Kikubiji ambavyo vikikamilika vitaongeza upatikanaji wa huduma za Afya katika maeneo hayo na kuwapunguzia wagonjwa adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za Afya.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.