• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANUFAIKA WA MILIONI 187.03 WAPATIWA ELIMU YA UJASILIAMARI

Posted on: February 3rd, 2022

Vikundi 39 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vilivyopatiwa mikopo isiyo na riba inayotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri vimepatiwa mafunzo ya kuendeleza miradi yao, elimu ya umuhimu wa kurejesha mikopo hiyo kwa wakati.


Haya yamejitokeza  leo tarehe 03 /02/2022 katika hafla ya kurasimisha mikopo iliyotolewa kwa wajasiliamari wa vikundi vya vijana, wanawake na walemavu.


Akiongea na wajasiliamari hao Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi  amewashauri wajasiliamari  kuanzisha miradi mbalimbali itakayowawezesha kuzalisha fedha hizo ili wanaporejesha mikopo waweze kubaki na mitaji ya kuendeleza biashara zao.


Aidha Mkuu huyo amesema mikopo yote inayotolewa inapaswa kurejeshwa kwa wakati ili watu wengine  waweze kupata mikopo hiyo.


Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imeendelea kutoa Mikopo isiyo na riba kwa vijana,wanawake na watu wenye ulemavu.Akitoa taarifa ya fedha zilizotolewa  Afisa Maendeleo ya Jamii Bi. Rozalia Magoti amesema jumla ya milioni 187,033,483.17  imetolewa kwa vikundi 39 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa pindindi cha mwaka 2020/2021.


Mikopo yote inayotolewa na Halmashauri inapaswa kurejeshwa ndani ya mwaka mmoja hivyo wajasiliamari  wote wanaopata nafasi ya kupata mikopo hiyo wanapaswa kuirejesha kwa wakati ili wanufaika wengine waweze kukopeshwa fedha hizo.


Mikopo hiyo imekuwa mkombozi kwa vikundi hivyo kwani vijana wengi wameweza kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo utengenezaji wa samani za nyumbani, majeneza, ushonaji, ufugaji , uuzaji wa nafaka na shughuli nyingine zinazowawezesha kupata kipato.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.